Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Hapo laweza kuwepo gundu? Au unasemaje mzee wa udaku Professor Lizaboni? Maana kuna ile ndoa tulichanga milioni 90 ikaishia kupigwa drip hospitalini. Halafu kuna ule wakati bwana mkubwa mzee wa totoz aliposema anataka kuonja asali yeye akaachia jumla bila kinga tukapata uzao.Maskini Vicky Kamata Likwelile!
Lakini bwana mkubwa akashtuka na kusema sitaki Wanawake na Maendeleo ya bongo flava nataka Wanawake na Maendeleo ya kitaasisi tuu.
Sasa Leo tena mtu unajitumbukiza shimo la fedha (hazina) linageuka shimo la choo?
GUNDU!