Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hebu type habari ya kile kilicho jiri aiseeeeUna uhakika hukusikia chochote kuhusu masamaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu type habari ya kile kilicho jiri aiseeeeUna uhakika hukusikia chochote kuhusu masamaki?
Kuna tetesi itaanza na Richmond Mkuu!Ile mahakama ya aliyoanzisha Mtukufu Rais Magufuli hivi ishapata shauri? Naona ni vyema ikaanza na huyu muheshimiwa. Haiwezekani majengo na miundombinu iwe tayari lakini mpaka sasa haijaanza kutumika. Bora majengo wayafanye Hostel za wanafunzi wa Law school.
Ataolewa na mwingineMaskini Vicky Kamata Likwelile!
Haraka ya niniAliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha Dr. Likwelile muda wowote kuanzia sasa atapandishwa mahakamani Kisutu kujibu mashitaka ya ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka, na kusaidia ukwapuaji wa fedha katika dili mbalimbali.
Taarifa nyeti zinasema tayari uchunguzi ushakamilika na muda si mrefu atapandishwa Kisutu na TAKUKURU. Kumbuka Dr. Likwelile alitenguliwa katika nafasi yake na Rais mzalendo Dr. John Pombe Magufuli..
Mytake: Kama aliiba na apandishwe tu, manake hakuna namna sasa!
Funguka....
Ovs
Kwani mahakama ya mafisadi tayari?Why him only na hatusikii lolote kwa akina Masamaki nk.?Au kuna kitu nyuma ya pazia?
Asante kwa kunifahamisha....Ni mume wa Vicky
Hujaelewa tuu mkuu?Dah si unyooshe mistari tuu tuelewee
Maskini Vicky Kamata Likwelile!
Dr. Likwelile ndio nani? Mimi kanitoka
Kwahiyo kipindi cha nyuma walikuwa hawapokei amri/maelekezo kutoka "juu"? Acha mchezo!likwelile inasemekana aliamua kuachia ngazi baada ya kuona taratibu za fedha zinakiukwa kwa amri za kisiasa kutoka juu,kwa sababu barua ya kujiuzulu imepokelewa kwa mtukufu yeye akaamua kuipindua kama utumbuzi!!!
Usiishi ktk fikra za kudhani ishi ktk ukweli! Unakoelekea hata wale watoto wako ambao sura zao ni tofauti nawe utaanza sasa hivi kudhani sio wako na ukiishi 'kwa kudhani' watakuwa sio wako kweli! Kingine punguza wivu wako wa kike!Huyu jamaa nikimuangaliaga tu sura yake kwangu imekaa ya kupiga dili, my insticts were right, bado mkurugenzi mkuu wa Tanesco, nae binafsi nafsi yangu haimuamini, namuona mpiga dili fulani.
Wewe unaamini hao watu wa Bombardier? Mkulupuko ndio maisha yao! Wanaweza kuwapandisha Kizimbani wakurugenzi Harmashauri nk lkn sio hao wengine....wapi LUGUMI..ESCROW... EPA...RICHMOND...Kama ni kweli ni vita kati ya mkulu na shemeji.
Sii mnajua chombo cha mtuhumiwa ni Mbunge wa vitu maalumu kutoka mkoa ule wa dhahabu na ambao ile wilaya pekee nchini yenye traffic light ipo?
Kazi kwelikweli, sijui kwanini watu mnapenda kuona wenzenu wakipatwa na mabaya. Yaani unatumia nafsi yako tu kutomuamini mtu na kutoa judgement? Taifa la ajabu hili.Huyu jamaa nikimuangaliaga tu sura yake kwangu imekaa ya kupiga dili, my insticts were right, bado mkurugenzi mkuu wa Tanesco, nae binafsi nafsi yangu haimuamini, namuona mpiga dili fulani.
Likwelile aliondoka pale wizarani kwa ridhaa yake!! Na bwana mkubwa hakupenda ile style na aliona kama anakosolewa!!wazee wa zamani walikuwa wanakuita wanakuelekeza familia ya kuoa,nahisi huyu mh kuna jambo lamuandama,haiwezekani vidume vipite tu au vipate majanga
halafu mwandishi acha uongo,mbona jamaa yupo tu na mimi nimemuona leo
kumchinja kobe yataka timing,jinai haifiSafi sana ngosha wakamue vibaka wote mpaka waishe.Lakini IPTL NA LUGUMI WAMEKUSHINDA