Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
To my understanding Dr. Likwelile hakutoka Wizarani kwa sababu ya kashfa. Yeye alikuwa anaendesha mambo kitaalam zaidi asijue ni lazima pia uweke siasa ndani mwake. Nimfahamuvyo yule si mtu wa kupifa dili hata kidogo. Tusubiri tuone kama ni kweli. Na kama ikiwezekana wanaweza pia mzingulia jambo kwa kuwa inaonekana hakukuwa na maelewano mazuri. Professionalism Vs Orders!!