Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,042
- 2,417
Hilo neno.... takukuru wanatakiwa kuwa watu wa haki na intelejensia zaidi na si mitulinga.... tunategemea kesi za takukuru ziwe za haki na zenye evidensi maana kesi zao nyingi zina public interest.... wakicheza ndani ya miaka 2 ijayo, kesiTakukuru mfanye kazi yenu kwa weledi na haki!
zao nyingi zitapigwa chini na mahakama na ile sifa waliyo kuwa wanaipata/tafuta wanapo pandisha watu kizimbani itawarudi na itawarudi mbaya kabisa.... kazi kwenu... maana no 1 hapendagi ujinga kabisa.....