Waliokuwa wanajali hizo accounting standards wametufikisha wapi? Maadamu pesa haziibiwi, ni heri tusifuate hizo standards lakini mambo yaende..naona huelewi maana ya taratibu za fedha,kasome public finance regulations zinaeleza taratibu za fedha ya serikali inavyotakiwa kukusanywa na kutoka/kutumika..siku hizi ni amri ya mtu mmoja tu bila kujali accounting standards
Waliokuwa wanajali hizo accounting standards wametufikisha wapi? Maadamu pesa haziibiwi, ni heri tusifuate hizo standards lakini mambo yaende..[/QUOT]
haziibiwi?nenda JNIA utapata shock jinsi taratibu za cash money zinavyokiukwa kwa amri
Wilaya gani hiyo yenye traffic lights Tanzania ...............!!?
Mimi mpaka sasa hivi bado sijaelewa. Labda kahawa na kashata zitanizimua kidogo.Fumbo mfumbie.....Dah! Watu mnajua kufumba nyie! Imenichukua saa nzima kustadi hadi kufumbua! Paliponitatiza na kutaka kunishikisha ziro ni pale....Hataki wanawake na maendeleo ya bongo fleva bali wama taasisi!
Imenisumbua, imenipotezea muda kuinyaka hiyo mkulu!
Ameziacha tayari zimeleta ugomvi.
zinagombaniwa na waliobaki.4bn? What's happening? Huyu Likwelile si ameshakufa?
Marehemu alikuwa ntu wa dili bhna hta kwa muonekano wakeTo my understanding Dr. Likwelile hakutoka Wizarani kwa sababu ya kashfa. Yeye alikuwa anaendesha mambo kitaalam zaidi asijue ni lazima pia uweke siasa ndani mwake. Nimfahamuvyo yule si mtu wa kupifa dili hata kidogo. Tusubiri tuone kama ni kweli. Na kama ikiwezekana wanaweza pia mzingulia jambo kwa kuwa inaonekana hakukuwa na maelewano mazuri. Professionalism Vs Orders!!
Si kweli.Marehemu alikuwa ntu wa dili bhna hta kwa muonekano wake
Si kweli hata kidogo. Kukataa kwake serikali isihamie Dodoma yote Bali kwa taratibu na Awamu ili kutoharibu mapato na matumizi ya serikali kwa shughuli za maendeleo ndiyo chanzo. Alitumia hesabu kushauri kumbe boss mwenyewe alikuwa hashauriki. Na akasimamia misimamo wake kama Katibu Mkuu mwenye dhamana ya mapato na matumizi ya nchi na bajeti yake.Marehemu alikuwa ntu wa dili bhna hta kwa muonekano wake