Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Nimesikia na masikio yangu, tena kasema isipotosha wataongeza nusu yake tena!
Ni kweli ameahidi tena amesisitiza atafutwe baada ya majuma mawili aanze utekelezaji na email ya mtendaji wake mkuu plus jina lake ameiacha kwa mawasiliano zaidi
 
Michezo ya kitengo hii ndugu. Embu jaribu wewe kufanya anayofanya then utupe mrejesho uone.
Kama harmorapa aliweza, naona kazaliwa upya kwa uyu mzee,

He is between a psychopath and a dreamer!
 
DR. Shika umeahidi $1m... kwa wanafunzi Kahama na mkuu wa Wilaya kakufagilia kweli.... huu si wakati wa masihara tena, mzaa Ukiendelea utakuja kuharibu.... ni maombi yangu uwe na hekima, maana ukitoa ahadi tena za kiswahili sasa utakuwa tapeli wa ukweli... usiichezee hii fursa mzee#
Wasukuma ndo walivyo
 
Ratiba ya Dr Shika:

23-11-2017- atakuwa Shinyanga kikazi lakini amegoma kuonana na family ndugu zake.

26-11-2017- atakuwa Mwanza kikazi kuzindua miradi mbalimbali na matangazo ya makampuni mbalimbali

30-11-2017- atakuwa Dsm kwa ajiri ya matangazo ya vodacom

6-12-2017- atakuwa na Erick Shigongo kwenye Global Publishers kwa kusaini mikataba mbalimbali.

15-12-2017- atakuwa Nairobi kwa ajiri ya matangazo ya bia ya Tusker

20-20-2017- atarudi Dsm kwa ajiri ya kuendesha arambee ktk kanisa flani..

Mtajua maana ya udaktari wake.

INAPENDEZA
Tisha sana hapo kwenye Tarehe 20 mwezi wa 20, mwaka 2017.
 
Nawapingeza waliomualika.. Wameonesha dhahiri hawana ubaguzi wa walemavu wa viungo na akili.. Sote tu watu wamoja despite mapungufu yetu.
 
Back
Top Bottom