digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Habari zenu wapendwa?
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika.
Tangu kuibuka kwa mtu anayejiita Dr.L.Shika na kujinadi kuwa yeye ni bilionea ameweza kuwateka watu na pengine kuwaamisha kuwa yeye ni bilionea
Ukweli ni kwamba mtu huyo hana lolote Bali ni mtu aliyesongwa na dhiki pamoja na msongo wa mawazo ambao umepelekea kurukwa akili
Kwa mtu aliyesoma japo ka sehemu kadogo tu ka saikolojia hawezi amini kuwa ndugu yetu shika ni mzima
Kwa waliokuwepo Leo kwenye mahafali ya chuo cha tiba kahama wataamini kuwa jamaa yetu dishi limeyumba kwani baada ya kupewa muda wa kutoa nasaha kwa wahitimu jamaa alienda nje ya maada mpaka MC akaingilia kati na kumnyanganya mic
Wito wangu kwa jeshi la polisi naomba wamkamate mkuu wa chuo kwa kuiaibisha taaluma ya utabibu kwa kualika mtu mwemye matatizo ya akili ambapo mtu huyo ameshindwa kufanya lolote na kupelekea kuanza maigizo mbele ya mkuu wa wilaya