kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kwa maelezo yako tu naona we ndiye kilaza.."manesi na wauguzi"...kuna tofauti gani!Halafu unaita chuo uchwara! unakifahamu au unahisi hisi tu?Kwa taarifa yako,ukiacha Bugando,hiki ndiyo chuo bora kabisa cha Afya kwa kanda ya ziwa.Na ni chuo bora zaidi kuliko vyuo vingi unavyovijua.Tatizo lako ni dogo sana,akili inazidiwa nguvu na hisia..lakini bahati mbaya kama hivi vitu tungevifananisha na viungo vya mwili,akili ingekuwa macho,na hisia ingekuwa sehemu ya haja kubwa.Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu