Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki

leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami

nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo

na watu wanapongeza kabsa
uliyechanganyikiwa ni wewe usiependa maendeleo ya wenzio. shetani mkubwa we!
 
Naona Dr Shika amekula mwewe toka Dar to Kahama, anazidi kula mashavu ya kupaisha matangazo tu......[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nimeambatanisha video, Alicho kisema Dr Shika wakati wa kutoa speech kwenye ya mahafali ya Chuo cha Afya Kahama. Pamoja na ahadi ya mbilioni kadhaa.....
 

Attachments

Kujaribu...kujiamini...kujikubali ...there is a lesson to learn
 
Back
Top Bottom