kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Ahahahaa. Naona finally uzeeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia wanamuita sukari ya warembo 2017.....Na yeye sasa ameshakua gumzo
uliyechanganyikiwa ni wewe usiependa maendeleo ya wenzio. shetani mkubwa we!hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki
leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo
na watu wanapongeza kabsa
Polepole mkuu achana nae [emoji3]uliyechanganyikiwa ni wewe usiependa maendeleo ya wenzio. shetani mkubwa we!
Nimeambatanisha video, Alicho kisema Dr Shika wakati wa kutoa speech kwenye ya mahafali ya Chuo cha Afya Kahama. Pamoja na ahadi ya mbilioni kadhaa.....Naona Dr Shika amekula mwewe toka Dar to Kahama, anazidi kula mashavu ya kupaisha matangazo tu......[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Aache kuingiza pesa apumzike??Muacheni mzee wa watu apumzike jamani
Dr Slaa yupi unayemuongelea?...Namtabiria soon umaarufu wake utashuka ka wa babu wa Loliondo au Dr Slaa.