Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Kimasihara tuu unakuta kapata mabilioni humu humu Tanzania na anaenda kuyajenga na Lugumi wake.
 
Nimecheka hadi machozi, huyu mzee aanze kulipwa na serikali, katupunguzia sana stress aiseeee, yani anatembea kwenye gari ya wazi huku anapunga mkono,,,,, Ila nilikua najizuia kucheka kutokana na sehemu na watu nilionao, nimejikuta kicheko na ushuzi vimetoka kwa pamoja
Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki

leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami

nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo

na watu wanapongeza kabsa
Bora ukae kimya mkuu maana ungepata kuona na kusikia aliyoyalonga ungekimbia kujificha ukaona elimu yako si lolote.

Huyu jamaa ni intelligent no matter how his current situation seems to embarrass you bro.
 
Kweli alikuwa kwenye hali ngumu sasa ameweza hata kwenda maeneo ya kwao;
Akitia mguu KOLOMIJE viboko 12 vitamuhusu. Ila zile suti za jana walimpora baada ya kupima Tezi dume nini, MUNGU anawaona kama aliporwa. Waweza kuta zimerejeshwa dukanai kuuzwa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Dr Shika amgeuka Lugumi....[emoji12] [emoji12]
Ameahidi kuisaidia wilaya ya Kahama dollar milioni moja.
Ameahidi kukisaidia chuo cha Afya Kahama Dollar million moja, a amesema kwamba isipo tosha ataongeza nusu yake.

Wakuu nimeweka video mjionee
 

Attachments

Back
Top Bottom