Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Mdada alikuwa wa kwanza kusogea mbele na kisimu chake akimpiga picha Dr shika...amevaa gauni la blue ndio mie hapa afisa masoko mwenyewe[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Nipo lango la kutoka upande wa high table...
Njoo nikupe za sakafuni toka kwa Dr Shika[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duhhh....[emoji12] [emoji12]
Nimesha kuona mkuu.
Kumbe ndio wewe... kweli jf ni kichaka
 
df2f8257623f4828161201246a967cfe.jpg
Mkuu uko wapi?
Njoo tule vyuku na dakitare huku
 
dah kwa style hii ngoja namie nijitafutie umaarufu hata kumpiga busu mzee wa magogoni hadharani
Ahaaa ahaaa ahaa mkuu kuwa makin umaarufu wa shika umekuja baada ya yy kukatwa vidole zaid ya vinne...pamoja na kukatwa sikio na kukaa mahabusu zaidi ya siku tatu...so get rich or die trying...all da best
 
[emoji3][emoji3][emoji3] huyu bwana Ana cheo gani Tanzania?
alaf hajui kukataa mwaliko.
Hyu ni vyema sasa akawa na manager, itamsaidia sana ktk harakati zake na hata kujipatia kipato sahihi...kupunguza unyonyaji na kutumika sna kwa maslah yao
 
Nimecheka hadi machozi, huyu mzee aanze kulipwa na serikali, katupunguzia sana stress aiseeee, yani anatembea kwenye gari ya wazi huku anapunga mkono,,,,, Ila nilikua najizuia kucheka kutokana na sehemu na watu nilionao, nimejikuta kicheko na ushuzi vimetoka kwa pamoja
Ukicheka na ushuzi unakutoka???[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] tayar
 
hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki

leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami

nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo

na watu wanapongeza kabsa
 
WanaJamiiForums habari za mchana,

Yule Daktari bilionea maarufu nchini kwa sasa ameonekana wilayani Kahama akiwa ni mgeni maalumu katika uzinduzi wa chuo hicho ambao unafanyika leo..
Picha zaidi nitatupia .

img-20171123-wa0043-jpg.636240


img-20171123-wa0049-jpg.636241


img-20171123-wa0041-jpg.636243

View attachment 636292 View attachment 636293
Hongera yako kwa unyapinyapi huu, Dr.Shika ndo habari ya mujini..... japo sometymz hatupend kuckia lkn hakuna namna lazma twende na beat, na shika ndo beat lenyewe[emoji12]
 
hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki

leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami

nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo

na watu wanapongeza kabsa
ni daktari wa kusomea boss.
 
hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki

leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami

nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo

na watu wanapongeza kabsa
Wivu humuua mmiliki mkuu,.
Huenda dokta hata hakujui lakini unavyomuonea wivu sasa

Mwenzio ana digrii 4 wewe una nini?? Tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom