Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Wanajamii forum habari za mchana,
Yule Daktari bilionea maarufu nchini kwa sasa ameonekana wilayani Kahama akiwa ni mgeni maalumu katika uzinduzi wa chuo hicho ambao unafanyika leo..
Picha zaidi nitatupia .

img-20171123-wa0043-jpg.636240

img-20171123-wa0049-jpg.636241

img-20171123-wa0041-jpg.636243
Apitie na Mwanza kwao akasalimie ndugu
 
Mkuu.....
Nawewe upo hapa kwenye mahafali...[emoji15] [emoji15]
Nipo mkuu natafuta pozi la kula selfie na Dr shika hapa.
Mkuu wa wilaya anampaisha .....
Za sakafuni ni kwamba Dr Shika ameshuka na precision air amelipiwa go and return na pesa za kitanzania tshs million NNE... Ila sandals kama kawaida na anabonga kisukuma ile mbaya.
 
Hahhaaaahaaaaaa.....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Akiacha sandals na bahasha hato vutia tena...
 
Nipo mkuu natafuta pozi la kula selfie na Dr shika hapa.
Mkuu wa wilaya anampaisha .....
Za sakafuni ni kwamba Dr Shika ameshuka na precision air amelipiwa go and return na pesa za kitanzania tshs million NNE... Ila sandals kama kawaida na anabonga kisukuma ile mbaya.
Umekaa upande gani mkuu???
 
Umaarufu ni frusa haijalishi umeupataje!!...hata kama ni wakushika shikaaaa!!!

1.Dr.Ambilikile Mwasapile a.k.a babu wa Loliondo Mzee wa 500/500(watanzania wengi walishikwa)

2.Dr Mwaka Mzee wa Tiba ya uzazi(wamama wengi walishikwa)

2.Dr Isack Ndodi mzee wa Tiba mbadala(wengi walishikwa)

3.Dr Shika Mzee wa 900 itapendeza (Yono walishikwa,na wengi wanazidi kushikwa)

Ushauri wangu kwa Dr.Shika hii ni frusa ishikilie kwelikweli usiiache ipite bure!

Binafsi umenitia moyo,kwa ujasiri wa ku-bargain 3bn kwa 900 hii ndio imani itendayo miujiza!!

Nikweli umesoma urus,na yawezekana ulikuwa billionea kweli,ni miaka mingi imepita lakini hakuna aliyekujua.

Mpaka siku ulipothubutu kuushinda uoga na udhaifu wako.

Historia yako imejaa utata mwingi,kuanzia kwenye Elimu,Familia hadi ubilionea!

Lakini usjali...this is a new beginning.. Keep it real...
Be a real doctor... Be the real billionaire..!!

Kila la kher Dr.Shika!
May God bless u in a special way!
 
Umekaa upande gani mkuu???
Mdada alikuwa wa kwanza kusogea mbele na kisimu chake akimpiga picha Dr shika...amevaa gauni la blue ndio mie hapa afisa masoko mwenyewe[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Nipo lango la kutoka upande wa high table...
Njoo nikupe za sakafuni toka kwa Dr Shika[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom