Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu
Acha uzee weewe ukitaka aitwe nani ili uone kama wako serious.? Umeshazoea maafari kuhudhuriwa na wanasiasa. Mr.Shika Lous ni Doctor by professional si mchimba chumvi hata kidogo
 
Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu
Manesi na wauguzi yaani hao ni watu wawili tofauti ama?
Unazijua ethics za afya?
 
Inaelekea Mzee alipokuwa kijana alikuwa hatari sana!! Sijui kama wadada walikuwa salama!!
 
Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu
Chuki haijengi ,utaishiaa kuwa mtu wa kulaumu siku zote , mtu yoyote anaweza kuwa mgeni rasmi mahali yoyote [HASHTAG]#punguzachuki[/HASHTAG]
 
Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu
Mbona unadharau na elimu yako mbovu.
Sijui akili kama hizi zitabadilika lini?
Huyo mzee ni Mtu na elimu yake na exposure yake
Alitakiwa awe muhimbili ana train madaktari
So ulitaka aitwe nani?
Mbowe au Au kiongoz wa wazazi wa ccm.
Shika Ana degree 4 Kutoka nchi iliyoendelea hivyo uache chuki za ajabu
 
Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu

Mkuu kuna uhusiano gani hapo, kwani Dr Shika, ndio ameenda kukifanya hichi chuo kiwe uchwara kwa siku moja? and how?
 
hii ndo nchi yangu tz
mambo ya kijinga yanapewa kiki

leo mtu aliechanganyikiwa na maisha anaenda kua mgeni rasmi chuo cha utabibu huu ni upumbavu wa kiwango cha lami

nawaza sijui atatoa speech gan kuwa encourage/motivate wasomi wa hapo

na watu wanapongeza kabsa
Yaani wewe pamoja na kudhani hujachanganyikiwa,siamini hata shule ya msingi ya kijiji inaweza kukulipa hata usafiri wa bodaboda ili uhudhurie mahafali yao.Sina uhakika hata kama kuna raia yoyote duniani atakuwa na haja ya kukusikia,hivyo jitahidi tu upunguze wivu na husda maana vitu hivyo vitakuua upesi sana
 
Duh inasikitisha sana yani inasikitisha....
Hivi vyuo uchwara hivi....afu eti chuo cha afya apo kimetoa manesi na wauguzi hao si ndo wale wanaeza kukuchoma sindano ata ya sumu mana najua watakua vilaza tu
Mkuu......
Ukilazimisha kuchamba, mwisho utashika na mavi.
Kwani kuna uhusiano gani kati mgeni akialikwa na taaluma...[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Eti nawewe unajiita GT kwa ubongo mdogo kama kuku....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ebu naomba nikupuuze tafadhali......
 
Back
Top Bottom