boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
Hii Nchi vitu vya ovyo ndo upewa airtime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana kwamba Dr. Shika ana hayo mapungufu au Mimi ndio sijakuelewa?Nawapingeza waliomualika.. Wameonesha dhahiri hawana ubaguzi wa walemavu wa viungo na akili.. Sote tu watu wamoja despite mapungufu yetu.
hivi inawezekana mtu kucheka hadi ukajamba[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ?Nimecheka hadi machozi, huyu mzee aanze kulipwa na serikali, katupunguzia sana stress aiseeee, yani anatembea kwenye gari ya wazi huku anapunga mkono,,,,, Ila nilikua najizuia kucheka kutokana na sehemu na watu nilionao, nimejikuta kicheko na ushuzi vimetoka kwa pamoja
Writing error mkubwaTisha sana hapo kwenye Tarehe 20 mwezi wa 20, mwaka 2017.
Nakutumia nyingine mkuuMi nataka speech zake alizoongea kwa hiyo mahafal
Unamaanisha ni mission master behind the scene....[emoji15] [emoji15]we huipendi hii nchi wewe
Konyo wewe....[emoji34] [emoji34]Habari zenu wapendwa?
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika.
Tangu kuibuka kwa mtu anayejiita Dr.L.Shika na kujinadi kuwa yeye ni bilionea ameweza kuwateka watu na pengine kuwaamisha kuwa yeye ni bilionea
Ukweli ni kwamba mtu huyo hana lolote Bali ni mtu aliyesongwa na dhiki pamoja na msongo wa mawazo ambao umepelekea kurukwa akili
Kwa mtu aliyesoma japo ka sehemu kadogo tu ka saikolojia hawezi amini kuwa ndugu yetu shika ni mzima
Kwa waliokuwepo Leo kwenye mahafali ya chuo cha tiba kahama wataamini kuwa jamaa yetu dishi limeyumba kwani baada ya kupewa muda wa kutoa nasaha kwa wahitimu jamaa alienda nje ya maada mpaka MC akaingilia kati na kumnyanganya mic
Wito wangu kwa jeshi la polisi naomba wamkamate mkuu wa chuo kwa kuiaibisha taaluma ya utabibu kwa kualika mtu mwemye matatizo ya akili ambapo mtu huyo ameshindwa kufanya lolote na kupelekea kuanza maigizo mbele ya mkuu wa wilaya
[emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji115]Konyo wewe....[emoji34] [emoji34]
Video ipi unayo itaka mkuu...[emoji15] [emoji15]Weka hiyo video, na mlimualika kutoa nasaha yeye akiwa kama nani? Kwani mlikuwa mnafanya tangazo la biashara?
1000 × 4000 = 4,000,000Weeeeweeeee...., u mean 40million??? U don't say....!!!
Wanamuita sukari ya warembo...[emoji12] [emoji12]Atapata wadada wa mujini.
[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji115]
Konyo wewe.....Nawapingeza waliomualika.. Wameonesha dhahiri hawana ubaguzi wa walemavu wa viungo na akili.. Sote tu watu wamoja despite mapungufu yetu.
Hahahahaha utapata kilema cha kujitakiadah kwa style hii ngoja namie nijitafutie umaarufu hata kumpiga busu mzee wa magogoni hadharani
Tuko pamoja mkuu.Writing error mkubwa
Atawalipia ada tena [emoji23][emoji23]
Andika kiswahili maana hii lugha unayotumia ni kama unaibaka tu..sycologically badala ya psychologically.. Jitathmini kwanza uwezo wako kabla ya kujidai mchambuzi wa madhaifu ya wengineONLY IN TANZANIA , a person who has suffered sycologically, and has no money , can gain popularity and be God Worshiped.
A billionaire who cannot even afford the daily basics and lives like a pauper