Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Nimesikia na masikio yangu, tena kasema isipotosha wataongeza nusu yake tena!
Ni kweli ameahidi tena amesisitiza atafutwe baada ya majuma mawili aanze utekelezaji na email ya mtendaji wake mkuu plus jina lake ameiacha kwa mawasiliano zaidi
 
Michezo ya kitengo hii ndugu. Embu jaribu wewe kufanya anayofanya then utupe mrejesho uone.
Kama harmorapa aliweza, naona kazaliwa upya kwa uyu mzee,

He is between a psychopath and a dreamer!
 
Wasukuma ndo walivyo
 
Tisha sana hapo kwenye Tarehe 20 mwezi wa 20, mwaka 2017.
 
Nawapingeza waliomualika.. Wameonesha dhahiri hawana ubaguzi wa walemavu wa viungo na akili.. Sote tu watu wamoja despite mapungufu yetu.
 
Tunaishi kwenye kizazi cha ajabu kweli kweli.
 
Baada ya hamo rapa. Anatengenezwa mwingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…