Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Nawapingeza waliomualika.. Wameonesha dhahiri hawana ubaguzi wa walemavu wa viungo na akili.. Sote tu watu wamoja despite mapungufu yetu.
Una maana kwamba Dr. Shika ana hayo mapungufu au Mimi ndio sijakuelewa?
 
hivi inawezekana mtu kucheka hadi ukajamba[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ?
 
ONLY IN TANZANIA , a person who has suffered sycologically, and has no money , can gain popularity and be God Worshiped.

A billionaire who cannot even afford the daily basics and lives like a pauper
 
Konyo wewe....[emoji34] [emoji34]
 
Weka hiyo video, na mlimualika kutoa nasaha yeye akiwa kama nani? Kwani mlikuwa mnafanya tangazo la biashara?
Video ipi unayo itaka mkuu...[emoji15] [emoji15]

Kwani kuna sheria iliwahi kushinisha aina ya mgeni mualikwa kwenye mahafali ya wanafunzi wa chuo cha Afya ...[emoji34] [emoji34]

Kwani kufanya tangazo la biashara ni kuvunja katiba/sheria....[emoji45] [emoji45]
 
Acha Mungu amrudishie miaka na yote yaliyoliwa na parare, madumadu, na nzige maishani mwake.

Dr. Shika, piga hela mjomba.

Awamu hii ni ya kanda ya ziwa hakiya nani!!!
 
ONLY IN TANZANIA , a person who has suffered sycologically, and has no money , can gain popularity and be God Worshiped.

A billionaire who cannot even afford the daily basics and lives like a pauper
Andika kiswahili maana hii lugha unayotumia ni kama unaibaka tu..sycologically badala ya psychologically.. Jitathmini kwanza uwezo wako kabla ya kujidai mchambuzi wa madhaifu ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…