Dkt. Louis Shika: Mgeni mualikwa mahafali ya chuo cha afya Kahama Shinyanga, atangaza neema

Dr Shika katubamba waTz kama babu wa Loliondo aka Babu.
 
Wanaopondea Dr shika kualikwa kwenye hiyo mahafali hawana akili?angalia tu hapa hii thread inavyojadiliwa na watu wengi,kwenye social media zote hiko chuo kimepata free publicity kabisa,kimejulikana nchi nzima leo.
 
kwa mambo kama haya ndipo utapogundua ni jinsi gani itakuwa vigumu kwa Watanzania kumng'oa mkoloni mweusi CCM.

ni nchi iliyosheheni a bunch of jokers.... CCM wanalijua hili na wana-capitalize kisawasawa.

kuing'oa CCM kunahitaji watu wachache wajitoe ufahamu halafu.......bang!

kama Zimbabwe vile. nani alitegemea Mugabe angeondoka madarakani leo kama si kwa watu wachache kujitoa ufahamu??
 
Ina maana shati, suruali na tai alivyovaa siku ya mnada pamoja na pozi la picha havibadiliki?
Sharti la mualiko lilikua ni kwamba......
Lazima akuwe na muonekano kama wa siku alipokua kwenye mnada wa lugumi...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Wanaopondea Dr shika kualikwa kwenye hiyo mahafali hawana akili?angalia tu hapa hii thread inavyojadiliwa na watu wengi,kwenye social media zote hiko chuo kimepata free publicity kabisa,kimejulikana nchi nzima leo.
Na hilo ndilo hasa lilikua lengo kuu la kumualika Dr Shika...
 
Mkuu...
Hivi umeona nani amezungumzia mambo ya siasa humu....[emoji15] [emoji15]
Ebu tupishe tafadhali ikiwa lengo lako hasa ni kufanya siasa, uendage kwenye jukwaa lenu aiseeeee......[emoji34] [emoji34]
 
Acha Mungu amrudishie miaka na yote yaliyoliwa na parare, madumadu, na nzige maishani mwake. Dr. Shika, piga hela mjomba. Awamu hii ni ya kanda ya ziwa hakiya nani!!!
Mpaka waujuwe ushamba wa Wasukuma! Wao wanapiga hela tu, kilaini, kiakili, kisheria, watake wasitake watashikwa tu..
 
Dr. Shika hata kama alikuwa hana hela ila sasa anaanza kupiga hela kwenye age ya 50+ to 60+ kweli hela na utajiri hauna formula maishani.

Life starts at 40s inatimia kwa Dr. Shika.
We jamaa umenichekesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…