Uchaguzi 2020 Dkt. Lwaitama atabiri mshindi Uchaguzi Mkuu 2020

Haka kazeee ni kanafiki kweli,
Atueleze kwanza hapo alipofikia amefanya kitu gani cha kuishangaza dunia au nchi yake kama siyo unafiki wa kujipendekeza kwa wazungu
 
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?

Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.

Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Kwa hiyo mmejiandaa kushinda kwa mbinu ovu? Amini nakwambia huu ni wakati wa Mungu kwa Lissu, no weapon formed against him will prosper in Jesus Name. Mark my words!
 
Yaani badala ya kususia uchaguzi na kusisitiza Tume Huru mnakuja kujificha huku na haya matumaini hewa!?
 
Ili uweze kuona merit ya hoja za Lwaitama inabidi usome kwanza kitabu cha Plato ‘The Republic’ (be it Lwaitama is biased on his opinion).

Kwakuwa kitabu chenyewe kipo based on debate what constitutes good governance and democracy kwa wanasiasa ambao kweli siasa ipo damuni na sio njaa kali wanaotafuta nafasi za kukimbia umaskini.

Kwa muktadha huo kwa wanasiasa ambao washasoma The Republic halafu wakafanikiwa kupata audience with Lwaitama just for the sake of debating the themes of the book sio lazima wakubaliane kwenye mitazamo that opportunity itself if it were me I will consider a privilege.

Unaweza kuona Lwaitama anaropoka anaposema usiamini wapiga kura lakini hizo ndio zilikuwa arguments za Socrates kwenye mjadala democracy kuwaachia watu wanaofanya maamuzi kwa hisia aifai na anatoa mifano kibao what is wrong with that process kikubwa how easily uneducated people decisions making process can be swayed with events or influenced by other people rather than their own rational judgements.
 
Bernard Membe atapunguza kura za CCM Mpya na Siyo zile za CHADEMA.- Mwalimu A. Lwaitama.
 
MwanaChadema hai kuitabiria ushindi Chadema wala siyo habari.
 
Lisu kwa mwaka huu hawezi kushinda uchaguzi labda ajaribu tenda 2030 ila kwa sasa haiwezekani mutasingia kuiibiwa tu lakini ukweri hawezi kushinda, najua mtapinga ni kwa mtazamo wangu lakini.
 
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?

Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.

Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
%99 ya hao jamaa kichwani ni mabox tupu.

Wamekomaa kwenye vyombo vya habari na mitandao kazi kubwabwaja tuu bila uhalisia.

Wenzenu kijani wanafanya vitu vinavyoonekana wao kazi kubwata,kulialia mara nimepigwa,fomu sijui kufanyeje ooohhh nitaibiwa kurablaaa blaaa wananchi wataingi road khaaa hawa pipoo wanajitambua kweli hawa we nani umpeleke road akaandamane nanii hataki kuufaidi uchumi wa kati akiwa huru.

Wangezungumzia seraza namna gani watatengeneza ajira hata mimi ningewaelewa.
Ni ishara mbaya sanaa mwanaume kulia lia dakika za awali kwenye mpambano.
 
Mkuu! Kwanza tu hapo kwa wapiga kura, wakati tume imetangza watu kwenda kuhakiki taarifa zao ili kama umehama eneo upewe kitambulisho kingine chadema wa humu jf walihamasihmshana wasiende wakisema ni kupoteza muda.
Leo wanakata viuno humu eti Lisu atashinda kura zipi?
.
Hilo daftari tu wapiga kura wameahapigwa bao tayari. Kuna uwezekano watu siku hiyo unaenda na kitambulisho chako na kuambiwa jina lako halipo kwenye orodha.
.
Wakati wa lile zoezi niliona wajumbe wa ccm wakipita kila kaya kuhamasisha watu watu hasa kina mama kwenda kujiandikisha, huku chadema wao wakiwa wametulia mitandaoni.
.
Hawa watu ni wajinga sana! Wanapoona ccm wametulia kimya, hakuna mtu anaebwatuka kama anavyofanya Lisu wala hakuna anaemjibu basi wanajiona Lisu keshashinda.
 
Haka kazeee ni kanafiki kweli,
Atueleze kwanza hapo alipofikia amefanya kitu gani cha kuishangaza dunia au nchi yake kama siyo unafiki wa kujipendekeza kwa wazungu
Wale wanafunzi waliopitia somo lake umewahi kukutana na hata mmoja wao? Mwalimu anapimwa kwa ubora wa wanafunzi wake! au ulitaka ajenga daraja? Acha dharau, kwa definition yenu ya matusi hapa umetukana!!
 
Kuna mtu hua namskia anasema sema kwenye utawala wangu watoto wenye wamepata mimba hawatarudi shule, kwenye utawala wangu hivi kwenye utawala wangu vile.
 
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?

Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.

Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Fanya yako mkuu ya Chadema hayakuhusu. Wewe kampigie kura Magufuli.
 
Bernard Membe atapunguza kura za CCM Mpya na Siyo zile za CHADEMA.- Mwalimu A. Lwaitama.
Ndg hujui lwaitama yupo dsm hajui chochote mtaani.
Take my note. Kwa katiba hii CCM watatawala miaka nenda rudi.
Nilitamani nimsikie akisema wadai tume huru kumbe anawapa matumaini ya bure tu.
 
Haka kazeee ni kanafiki kweli,
Atueleze kwanza hapo alipofikia amefanya kitu gani cha kuishangaza dunia au nchi yake kama siyo unafiki wa kujipendekeza kwa wazungu
Wazungu gani unao wazungumzia wewe wazungu wa unga au wazungu wazungu tufafanulie......
 
Walioumizwa wengi, wafanyakazi, wakulima, na hata wafanyabiashara kimaeneo pia wapo!
 
%99 ya hao jamaa kichwani ni mabox tupu.
Wamekomaa kwenye vyombo vya habari na mitandao kazi kubwabwaja tuu bila uhalisia.
Wenzenu kijani wanafanya vitu vinavyoonekana wao kazi kubwata,kulialia mara nimepigwa,fomu sijui kufanyeje ooohhh nitaibiwa kurablaaa blaaa wananchi wataingi road khaaa hawa pipoo wanajitambua kweli hawa we nani umpeleke road akaandamane nanii hataki kuufaidi uchumi wa kati akiwa huru.
Wangezungumzia seraza namna gani watatengeneza ajira hata mm ningewaelewa.
Ni ishara mbaya sanaa mwanaume kulia lia dakika za awali kwenye mpambano.
Sijaelewa kabisa. Utakuta na wewe una familia na ni mwanachama hai wa kijanj
 
Ndg hujui lwaitama yupo dsm hajui chochote mtaani.
Take my note. Kwa katiba hii CCM watatawala miaka nenda rudi.
Nilitamani nimsikie akisema wadai tume huru kumbe anawapa matumaini ya bure tu.

kwa Katiba sawa CCM watashinda ila kwa kura Chadema wanashinda
 
Haisaidii kama anaapishwa Magufuli na wewe unajigamba nilishinda ni bure.
Kwa hiyo akina Lwaitama na Lisu mwenyewe wanajua hawawezi kuishinda CCM.
Zaidi ya kutoa vitisho vya uvunjifu wa amani.
 
Back
Top Bottom