Uchaguzi 2020 Dkt. Lwaitama atabiri mshindi Uchaguzi Mkuu 2020

Unaposema unawaona wapumbavu ,je ww wakuone ni nani kama cyo zaidi ya mpumbavu ? Kushinda kwa lissu kunawezekana Kama ww unavoamini wa kwenu kushinda mtatangaza tu taka msitake
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?

Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.

Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
 
Tutafakari mfano wa Afrika Kusini na Chama cha ANC.
Je kilikuwa na pesa za kusimamia uchaguzi?
Je Makaburu hawakuiendeleza Afrika Kusini kuliko Tulivyoiendeleza Tanzania ndani ya miaka 5?
Je kila siku kumweleza Mwanainchi kuwa nimekufanyia jambo moja , mbili, tatu na kuendelea si Kumsimanga. Mila na Desturi za Mwafrika haziruhusu kutangaza jambo ulilomsaidia mwenzako,
Yeye aliyesaidiwa ndiye anatakiwa kulitangaza.
Yesu Kristo alipokuwa anawaponya watu, aliwaambia baada ya kuwaponya, enendeni zenu msimwambie mtu. Alijua vipofu ni wengi na yeye hawezi kufanya miujiza kila siku. Alifanya hivyo ili watu wamwamini.
Yesu Kristo hakutaka kutangaza alichowafanyia watu na hata hakuwaruhusu wale waliowaponya kutangaza. Lakini aliyoyafanya Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita, yote tunayajua hadi leo.
Hata Hayati Mwalimu Nyerere hakuwa anahubiri aliyowafanyia Wanainchi kwa sababu alikuwa anajua ni wajibu wake na wanainchi walikuwa wanajua alichowafanyia. Pia walikuwa bado na matatizo mengine mengi.
Si vyema sana kutangaza kila kitu unachofanya kwa watu kwa sababu si wote unaweza kuwatendea hivyo.
Unawapa uchungu wale ambao hujawafanyia na pengine ndiyo walio wengi.
Mwalimu Nyerere alikuwa anaongea maendeleo ya Inchi kulingana na aina ya watu anaongea nao.
Akifika kwa wakulima ataongea mambo ya Kilimo. Mambo ya Railway line ya Standard gage, Umeme wa Stirgers Gauge, au Ndege wanakuwa hawaelewi kabisa. Ni sawa na kumfundisha Mtoto wa shule ya Msingi elimu ya chuo Kikuu.
Unaweza kumpa mtu keki ukafikiri umemsaidia sana kumbe yeye alikuwa anataka ugali na mchuzi wa samaki na Nazi.
Unaweza kumpa mtu pilau lakini kumbe yeye alikuwa anatamani Bia.
Mwisho.
Ukiwa na Mtoto mdogo jifafanye na wewe ni Mtoto.
Ukiwa na Mkulima, Jifanye na wewe ni mkulima.
Ukiwa na mfanya Biashara, jifanyanye na wewe ni mfanya biashara.
Ukiwa na kiongozi wa Dini nawe jifanye ni muumini mzuri.
Siku zote tujifanye wadogo kuliko wale tunaowaongoza.
 
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?

Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.

Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Kama Magufuli ameweza kuwa rais, si lisu pekee anaye weza kuwa bali hata wewe waweza kuwa!
 
John naye kashaliona hili, kwamba anaondoka ikulu ndiyo maana amepaniki kupitiliza. Mwambieni ikulu ni pa watanzania, hawamtaki tena.
Uchaguzi ungekuwa unafanyika kwenye social media Tundu Lissu tayari ni rais. Acheni ndoto za mchana bila usingizi!
#Chagua tena Magufuli aendelezeujenzi wa taifa!
 
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?

Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.

Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.

Asante "WEWE" uliyejiona mwenye akili kuliko "WOTE".
 
Kama baba yako ni mjinga wewe werevu utautoa wapi? Naona umepaniki sana kwa taarifa yako mzee kamongo hachomoki huu mwaka maana keshakataliwa hata na familia yake, nchi na sasa dunia nzima haimtaki sehem salama ilobaki kwake ni jela, kaburini na jehanam hana pa kukimbilia. Akijitahidi saana kukimbia ni Burigi, Bujumbura, Kigali ambako ataenda kuokotwa kama kipanga anavyo muokota kifaranga na umpe hii taarifa polepolepole akiwa anakupa B7 yako.
 
Kumbe hata huyu naye ni mganga wa kienyeji! Inawezekanaje kufananisha mazingira ya kiasi ya S. Africa na Tanzania! Political Science ya wapi hiyo? Hata Marxist Leninist theory hawakuwa wajinga kiasi hicho.
 
Tundu Lissu juu juu juu zaidi....

Uhuru na kazi
 
Ukiwasikiliza CHADEMA wa Jamii Forums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara. Ngoja niwape hints basi...

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu?, Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo?

Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?,kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana.

Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Sawa fc mp

Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
 
John naye kashaliona hili, kwamba anaondoka ikulu ndiyo maana amepaniki kupitiliza. Mwambieni ikulu ni pa watanzania, hawamtaki tena.
Wewe ndo humtaki na JF yako lkn mamilioni kwa mamilioni ya Watanzania huwaelezi kitu kwa JPM, ushindi kwake ni zaidi ya asilmia 90
 
Hawa hawa watanzania wanaokula mlo mmoja?
Hawa hawa watanzania waliodhulumiwa korosho zao?
Hawa hawa watanzania waliopoteza ndugu na jamaa zao kwa mauaji na utekaji?
Hawa hawa watanzania wanaoshuhudia ndugu zao wakipigwa risasi mchana kweupe?
The list is endless........

Au unaongelea watanzania wepi?
 
25 Agosti 2020

Wazee wa ACT-Wazalendo wazungumzia haki ya kuchaguliwa na kupiga kura kwa waTanzania wote

Ngome ya Wazee itatoa laana kwa mtu yoyote atakaye vurugu mchakato wa uchaguzi iwe kuteuliwa, kuenguliwa au kutangaza matokeo, wazee hao wasisitiza haki na uhuru kuelekea Oktoba 2020

Back
Top Bottom