Mna akili za kubebena..hata choice ya meneno inaonyesha role model wako nani?Km hadi kutangaza nia hujaona kwamba magufuli anamiss sana solution ya issues ambazo hazijawahi tokea na zinazohitaji busara na uwezo wa kiakili kuja na jibu .Ni ngumu sana kusaidia hata pale alipojisema kwamba yeye atafuta ya ila iliyofail ya CCM .mbaya hakuna mmojawapo ya waliyoitengeneza.Mnalewa kirahisi sana CCM na umaarufu wa muda.Weka akiba ya maneno. Huyu mtu ni presidential material. Ataushangaza umma wa Watanzania. Kuwa makini sana kutumia maneno hasa kwa mtu ambaye ni rais mtarajiwa.
Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.
Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.
Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala
Magufuli na Muhongo they can change this country but lowasa ni kupoteza taifa coz naona wale vibaraka wake wanafufuka kutoka wafu sasa hivi
Kiongozi hapo sawa, angalia anaoandamana nao wote vibaka, Chenge, Karamagi, Tibaijuka etc uchafu mtupu
Wasira hakukosea kutuonya kuwa mkimpa mwizi, atauza mpaka ikulu.
Timu ushaona imekamilika hapo lowasa, Chenge, Rostam, Karamagi alafu unategemea kuna maslahi ya nchi hapo?hawa watu wapo kwenye biashara ya kuila nchi tu
........angalia siku ya siku usijekimbia humu mkuu; kuweka akiba ya maneno ulikuwa ushauri mzuri kwakoRaisi wa nini? Labda kama Malinzi wa TFF amamaliza muda wake
........angalia siku ya siku usijekimbia humu mkuu; kuweka akiba ya maneno ulikuwa ushauri mzuri kwako
Msitishe watu, hii nchi ni yetu sote, iki chama ni chetu sote, Nyie ndiyo mtakimbia nchi. Magufuli hafai, na ninarudia kusema Magufuli hafai
Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.
Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.
Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala
Msitishe watu, hii nchi ni yetu sote, iki chama ni chetu sote, Nyie ndiyo mtakimbia nchi. Magufuli hafai, na ninarudia kusema Magufuli hafai
Tulipofikia anatakiwa rais atakayetenda kwa vitendo zaidi!
Mwambie Mumeo agombe kama unaona Magufuli hafai