Elections 2015 Dkt. Magufuli achanja mbuga kutafuta wadhamini

Elections 2015 Dkt. Magufuli achanja mbuga kutafuta wadhamini

Weka akiba ya maneno. Huyu mtu ni presidential material. Ataushangaza umma wa Watanzania. Kuwa makini sana kutumia maneno hasa kwa mtu ambaye ni rais mtarajiwa.
Mna akili za kubebena..hata choice ya meneno inaonyesha role model wako nani?Km hadi kutangaza nia hujaona kwamba magufuli anamiss sana solution ya issues ambazo hazijawahi tokea na zinazohitaji busara na uwezo wa kiakili kuja na jibu .Ni ngumu sana kusaidia hata pale alipojisema kwamba yeye atafuta ya ila iliyofail ya CCM .mbaya hakuna mmojawapo ya waliyoitengeneza.Mnalewa kirahisi sana CCM na umaarufu wa muda.
 
Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.

Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.

Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala

Nadhani walipouza nyumba za serikali na ubinafsishaji alikuwa anatekeleza maagizo ya Rais. Na kwa sababu hiyo namwamini katika kusimamia utekelezaji. Japo sera ilikuwa mbaya lakini haikuwa yake.
 
Magufuli na Muhongo they can change this country but lowasa ni kupoteza taifa coz naona wale vibaraka wake wanafufuka kutoka wafu sasa hivi
 
Magufuli na Muhongo they can change this country but lowasa ni kupoteza taifa coz naona wale vibaraka wake wanafufuka kutoka wafu sasa hivi

Kiongozi hapo sawa, angalia anaoandamana nao wote vibaka, Chenge, Karamagi, Tibaijuka etc uchafu mtupu
 
Kiongozi hapo sawa, angalia anaoandamana nao wote vibaka, Chenge, Karamagi, Tibaijuka etc uchafu mtupu

Wasira hakukosea kutuonya kuwa mkimpa mwizi, atauza mpaka ikulu.

Timu ushaona imekamilika hapo lowasa, Chenge, Rostam, Karamagi alafu unategemea kuna maslahi ya nchi hapo?hawa watu wapo kwenye biashara ya kuila nchi tu
 
Tatizo moja linajitokeza kuwa, mjini hawa wapiga dili tunawajua ila vijijini ndo kwenye shida kwa sababu ya umaskini wanapewa chumvi, sukari, nguo kura imebebwa. Mwenyezi Mungu atunusuru!
 
Magufuli ndiye ana funguo ya kuelekea Tanzania tunayotaka.
 
Mimi pia nampenda sana huyu jamaa kwanza ndiye waziri pekee wa ccm ambaye uwaziri wake hautokani na kujipendekeza kama wengine ndo maana siraha yake kubwa ni nitakuachia uwaziri kama vile alivyo kuwa sokoine pili ndie waziri pekee ktk siasa za tz aliewahi kudiriki kui challange serikari yake kwa kuiambia kubomoa jengo la offisi za Tanesco. tatu ndie waziri peke yake mbabe na nchi hii inatakiwa mbabe kwa taarifa yako nchi zote duniani zilizo wahi kuongozwa na wababe zimekuwa na maendeleo makubwa We ona Kagame, Gadafi, sadam hussein, Mubaraka, hata Hitla wanasema haijawahi kutokea maendeleo kama aliyo wahi kuya leta. kuhusu uuzwaji aliwahi kusema yeye hakuwa Presidaa wakati wa maamuzi yale
 
Raisi wa nini? Labda kama Malinzi wa TFF amamaliza muda wake
........angalia siku ya siku usijekimbia humu mkuu; kuweka akiba ya maneno ulikuwa ushauri mzuri kwako
 
........angalia siku ya siku usijekimbia humu mkuu; kuweka akiba ya maneno ulikuwa ushauri mzuri kwako

Msitishe watu, hii nchi ni yetu sote, iki chama ni chetu sote, Nyie ndiyo mtakimbia nchi. Magufuli hafai, na ninarudia kusema Magufuli hafai
 
Msitishe watu, hii nchi ni yetu sote, iki chama ni chetu sote, Nyie ndiyo mtakimbia nchi. Magufuli hafai, na ninarudia kusema Magufuli hafai

Tupe sababu za msingi kabisa kabisa!
 
Rais wangu ni Magufuli tu. Hata asipopitishwa kwa hila na nguvu za mafisad atabaki kipenzi wa wazalendo.

Go Magufuli, kwenye mtumbwi wako tutazama pamoja na kuibuka Pamoja.
 
Naombeni KURA zenu, mimi Magufuli.

Mlinikabidhi wizara ya ujenzi, nikauza nyumba zote za serikali maeneo nyeti na yasiyo nyeti kwa sababu kuzigharamia ilikuwa ni hela nyingi.

Mkinipa nchi nitauza baadhi ya mikoa ambayo haizalishi, ambayo ni mzigo kwa nchi hii. Pia mikoa nyeti tutajiuzia sisi viongozi ili tuendelee kutawala

we ----- huna Jema!. Mwambie mama ako agombee
 
Msitishe watu, hii nchi ni yetu sote, iki chama ni chetu sote, Nyie ndiyo mtakimbia nchi. Magufuli hafai, na ninarudia kusema Magufuli hafai

Mwambie Mumeo agombe kama unaona Magufuli hafai
 
Project Magufuli mnataka kunitoa roho, huyu jamaa hapati hii nchi, kama mnampenda sana nendeni mkanywe naye chai
 
Back
Top Bottom