Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

Wewe si wa Kilimanjaro.Huku tuna mnaendelea mpaka ya ubungo.Wa kutugeuza Kilimanjaro hayupo.Kura ni kwa mtu anayejali haji.Ss tulishaendelea .Kwa HERUFI KUBWA," NI TUNDU LISSU TU".NI YEYE 2020.
 
Kwa utaratibu anaotumia jpm kila sehemu lazima apate hicho kiitwacho nyomi.maana kila aendapo watu husombwa toka maeneo ya pembezoni na kujaza hapo na magari bila kusahau wanafunzi na wafanyakazi wa eneo hilo
Mkuu wakishawaleta uwanjani wanawawekea vizimba hawatoki hii inawasaidia kujua kila kikundi kama ni wanavyuo wanatengwa sehemu yao kama ni mataga wanatengwa sehemu yao n.k! Pili wanawekewa viti sasa upo kwenye kiti utacheza kweli ule wimbo wa one love!?.
 
Mmm sanaa yenu ya kusafirisha watu ili mdanganye umma mbona iliishajulikana?? Sasa na kujisifia kwote uku lkn uyo JPM wako ukweli wakutokubalika anaujua ndio maana anaiogopa tume huru balaa.
 
Mikoa yote Magufuli amejaza nyomi ambazo hazina uhalali pale mwanzo uvccm walijaribu kuzihalalisha hizo nyomi tukazikataa wenzako waliacha kupost hizo nyomi unazosema wameshajua huo mpango umeshafeli sijui wew unakwama wapi
 
Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea....

Jaman jaman kalamu zenu mtumie vizuri sisi ambao tuko huku ndio tumeshuhudia sio kuhadithiwa kma kubeba watu kutoka wilayan na mabas kuanzia same,mwanga na boma nk nikujaza nyomi ya watu na kubomoa ngome bas mmebomoa kweli kweli Kabla hamjaandika fanyeni utafiti au ulizeni ndugu jamaa n marafiki wanaoishi sehemu husika .
 
Wanafanya propaganda tu hawa wahuni, wanajua mtu wao kashakataliwa na umma
 
sawa ni watz, ila vyama vingne haviendi mikutanoni na wasanii na bado vinapata nyomi...thubutuni na nyie muone.
Zile hela za michango ya wabung alizochukua bwana Mugabe wa CHADEMA zingetosha sana kulipia wasanii ila ndio hivyo kiendacho kwa mganga hakirudi.
 
Kwa heri Chadema, usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa
 
Tupostie basi hizo clips za mabasi yaliyo kuwa yakisonba watu na kuwaleta lwenye mkutano.
 
Kilimanjaro gani unayoisema wewe?
Taja mikoa 6 inayoongozwa na wabunge wa CCM tokea mfumo wa vyama vingi uanze,ambao unaouzidi mkoa wa Kilimanjaro kwa maendeleo.

Acha ubwege wa kusikiliza kwenye Fiesta za CCM,

Tembea uone.
 
Watz awajui hatari ya kurudia tena makosa, safari hii watalimia kucha, sababu atohitaji kura zao Tena
Watu tupo kuanzia utawala wa baba wa Taifa mpaka leo na hatujawahi kulimia kucha.Kinachowasumbua vijana wa leo ni plan nyingi za kwenye makaratasi,matarajio makubwa ilihali ni wavivu wa kutupwa,mkisoma kidogo mnaona Kuna kazi hamstahili kufanya,aibu na ujanja mwangi,na maisha ya kuigiza kupita kiasi.Hapo ulipo huenda una simu ya 300K Ila bado unalia huna mtaji.

Pambaneni na maisha hakuna mtu atakaewaletea hela mfukoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…