n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Amani isiyo na haki?Tuliaaa wewe Dawa ziwaingie Analinda A man ya watanzani dhidi ya wahuni
Ingependeza ashikishwe na ukuta kabisa kabla hajarejea kwa mabeberu wake.Naam ni masaa machache tu yamebaki , kumshikisha adabu yule kibaraka wa Amsterdam!.
GoodView attachment 1614373
Tayari nimewachinja maccm [emoji3577][emoji3577]
Faida zipo kama kwa matajiri na watu wenye uchumi wa kati zaidi :-Serikali ya awamu ya tano imekunifaisha we we, familiya yako na ukoo mzima kupitia Elimu bure, huduma bora za afya, mikopo elimu ya juu, usafiri bora, ulinzi, usalama na amani n.k. chagua Magufuli, Chagua Maendeleo
Jibu swali...kwanini mna VPN wkt TBC ipo??Akili yako ndio imeishia hapo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Tz na JPM, 5 Tena!