Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda

Sawa amefanya mazuri lakini watanzania wote hawamtaki, si apumzike tu, Nyerere walimtaka lakini alikataa. yeye hawamtaki lakini anataka jamani!!!
Hamumtaki nyie majizi na wauza unga na wakwepa kodi wazee wa mipango.
 
Hamumtaki nyie majizi na wauza unga na wakwepa kodi wazee wa mipango.
Ndiyo hatulitaki mbona renyewe jizi tu.liliiba kura weee! Upendeleo wee. Linaweka air port chato hkn ndege kutua Hata watanzania hawalitaki. Sema unafaidika na makombo yake hatabiriki yule atakugeuka.
 
Tumeshamaliza masuala ya kura na ushindi kama kawaida unakuja kwa kishindo, ila kuanzia tarehe 5/11/2020 tunaanza kujiandaa na uchaguzi wa mwaka 2025 wakati hawa kunguni wa ufipa wakilalamika sisi tunaandaa mtu wa kumpokea Magu
 
Ndiyo hatulitaki mbona renyewe jizi tu.liliiba kura weee! Upendeleo wee. Linaweka air port chato hkn ndege kutua Hata watanzania hawalitaki. Sema unafaidika na makombo yake hatabiriki yule atakugeuka.
Makelele ya mfa maji haya ndo zenu watoto wa kambo ulalamishi hauwaishi.
 
Hakuna wa kumshinda JPM
Kabisa hasa hawa wapinzani wakuokoteza watasubiri sana,ccm IMESHEHENI hazina ya viongozi kwa kweli. Jukumu walilojichagulia wao ni kulalamika hata wapewe mgombea malaika upinzani ujitathmini.
 
CHADEMA BARIDIIIIIIIIIIII.....in JK voice
 
Sawa amefanya mazuri lakini watanzania wote hawamtaki, si apumzike tu, Nyerere walimtaka lakini alikataa. yeye hawamtaki lakini anataka jamani!!!
Wewe ndo humtaki, wenzio tunamtaka
 
Kwa kua atakua kashinda kichaa ambaye duniani hajawahi kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…