Dkt. Magufuli alipokuwa Waziri, aliwahi kukusanya sadaka Kanisani kama alivyofanya leo katika Ibada ya Christmas?

Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.

Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?

Ni matarajio yangu alianza siku nyingi

View attachment 1658857
Hilo kanisa ghafra limekua dogo, walilipanua kidogo sana
 
Nahisi anatumia ushawishi alionao kuhamasisha Sadaka maana watu wamekuwa wagumu kutoa.
 
Mkuu Salary vyakuandika havipo kwa sasa hapo ufipa.
 
...bongo moovie

QUOTE="Salary Slip, post: 37656271, member: 84376"]
Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.

Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?

Ni matarajio yangu alianza siku nyingi

View attachment 1658857
[/QUOTE]
 
Uzuri anafanya na watu wa imani Yake.
 
Mnaotumia Voda mnaweza Kuaccess Twitter bila njia mbadala ?
 
Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.

Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?

Ni matarajio yangu alianza siku nyingi

View attachment 1658857
JPM ni zao la Seminari na jasiri aachi asili!
 
Na ndo maana naona Wasabato wako sahihi katika hili:kwao ni marufuku mtu mwingine awaye yote kushika chombo cha matoleo (zaka +, sadaka) isipokuwa Shemasi, ambaye amewekwa wakfu kwa kazi hiyo na nyinginezo. Hata kama wewe ni Mheshimiwa sana,hakuna kushika hicho chombo maana hujawekwa wakfu kwa jukumu hilo.
 
Back
Top Bottom