Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumuiya ya zamu huwa wanatoa huduma hiyo kwenye kila misa, inawezekana jumuiya yake ilikuwa zamu au yeye alipenda kutumika leo.Alikusanya sadaka akiwa rais hivyo hivyo kama si mwaka huu basi ni mwaka jana! Kanisa Katoliki ni kawaida tu!
Ndiyo hivyo ile nyingine ilikuwa ibada kuna sehemu alikuwa hapoJumuiya ya zamu huwa wanatoa huduma hiyo kwenye kila misa, inawezekana jumuiya yake ilikuwa zamu au yeye alipenda kutumika leo.
Juhudi za kuonwa na Robert bin Amsterdam kupiti JF hazikuzaa matunda! Lakini, bado hajakata tamaa...mdogo mdogo anaanza kuibuka na nyuzi za 'mshangao' kutoka kwa 'akili kubwa' kama wanavyojinasibu akiwa na wenzake!Wewe hujatengeneza kiki na igizo uchwara ili utimukie ugaibuni?
Kwani sadaka inatozwa mkuu? Mie nijuavyo SADAKA ni hiariNimekuuliza unaelewa "Separation of Church and State" ni nini.
Hujajibu.
Huyo Mwalimu Nyerere uliyemtaja alikuwa anakwenda kanisani kila siku akiwa Dar.
Karibu kila siku, alikuwa akisali St. Peters.Si mpaka Jumapili na Christmas.
Na hakutoza sadaka hata siku moja maisha yake yote. Hakuna rekodi hiyo.
Alijua maana ya "Mpeni Kaizari cha Kaizari, na Mungu cha Mungu".
Alijua akisimama kutoza watu sadaka, watu wengine watajiuliza sasa hizi hela tunazompa Julius Kaizari huyu ni sadaka za kwenda kwa Mungu au tunaunga mkono juhudi za utawala wake?
Watu wengine watatoa sadaka kwa sababu anayetoza ni rais, si kwa sababu wanataka kutoa sadaka kanisani.
Yani suala zima la kwenda kanisani kutoa sadaka kidini linagubikwa wingu la siasa.
Ndiyo maana Nyerere na Mkapa hawakufanya maigizo haya.
Kwani kutozwa maana yake ni nini?Kwani sadaka inatozwa mkuu? Mie nijuavyo SADAKA ni hiari
Sadaka hupaswi kumuonyesha mtu ni siri yako ila ukitoa kwa kuogopa mtu hicho ni kiherehere chako, sadaka hainaga kiwangoKwani kutozwa maana yake ni nini?
Kwani huwezi kutozwa mchango wa hiyari?
Unapomuona Magufuli kakusimamia anakutaka utoe sadaka unaweza kubabaika na kufikiri ni lazima na si hiyari.
hajajirekodi mkuu,halafu ujue yule ni Rais eeh!!!ni namba moja,ni public figureShida ipo yeye sikawajataza wenziwe kujirekodi mbona yeye anafanya??
Sadaka inafaa kuingizwa kwenye lindi la siasa?Sadaka hupaswi kumuonyesha mtu ni siri yako ila ukitoa kwa kuogopa mtu hicho ni kiherehere chako, sadaka hainaga kiwango
Kwani hao mawaziri si public figures?hajajirekodi mkuu,halafu ujue yule ni Rais eeh!!!ni namba moja,ni public figure
Sio mbaya,wala sio ajabu ujue?,,vitu vingine sio hata vya kulalamikiaKuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu alianza siku nyingi
View attachment 1658857
Tuishie hapo, maana pilau bado halijaisha karibu sana mkuuSadaka inafaa kuingizwa kwenye lindi la siasa?
Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu alianza siku nyingi
View attachment 1658857
Ushahidi wa hii hekaya upo kweli?Huyo kada wa Lumumba, anauhesabu huo "uchafuzi" uliopita kuwa ni miongoni ya chaguzi Huru na Haki?
Hivi uchaguzi gani ambao Jiwe anawaamrisha Wasimamizi wote wa uchaguzi kuwa vibarua vyao vitaota nyasi, iwapo atatokea msimamizi yeyote atakayethubutu kumtangaza mpinzani kwenye eneo lake kuwa ameshinda?
Kosa lake ni lipi hapo, UA ulitaka afanye nini?.Kuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu alianza siku nyingi
View attachment 1658857
Zao la seminari ni "mseminari".JPM ni zao la Seminari na jasiri aachi asili!
Kwani we umeeleewaje?Kosa lake ni lipi hapo, UA ulitaka afanye nini?.
Mara moja moja siyo mbayaKuna clip inatembea mitandaoni(nimeiona twitter) ikimuonyesha Magufuli akikkusanya sadaka kanisani katika ibada ya Christmas ya siku ya leo.
Ni jambo jema kabisa, lakini swali ni je,alipokuwa Waziri au wakati akiwa mwalimu, aliwahi fanya hiki alichokifanya leo hii kanisani?
Ni matarajio yangu alianza siku nyingi
View attachment 1658857