Dkt. Magufuli alipokuwa Waziri, aliwahi kukusanya sadaka Kanisani kama alivyofanya leo katika Ibada ya Christmas?

Wewe hujatengeneza kiki na igizo uchwara ili utimukie ugaibuni?
Juhudi za kuonwa na Robert bin Amsterdam kupiti JF hazikuzaa matunda! Lakini, bado hajakata tamaa...mdogo mdogo anaanza kuibuka na nyuzi za 'mshangao' kutoka kwa 'akili kubwa' kama wanavyojinasibu akiwa na wenzake!

Alitakiwa, atulie kama Mshana Jr ili a reset mafaili yake! Hii ingemuepusha kuibuka na nyuzi za 'mshangao'!
 
Kwani sadaka inatozwa mkuu? Mie nijuavyo SADAKA ni hiari
 
Kwani sadaka inatozwa mkuu? Mie nijuavyo SADAKA ni hiari
Kwani kutozwa maana yake ni nini?

Kwani huwezi kutozwa mchango wa hiyari?

Unapomuona Magufuli kakusimamia anakutaka utoe sadaka unaweza kubabaika na kufikiri ni lazima na si hiyari.
 
Kwani kutozwa maana yake ni nini?

Kwani huwezi kutozwa mchango wa hiyari?

Unapomuona Magufuli kakusimamia anakutaka utoe sadaka unaweza kubabaika na kufikiri ni lazima na si hiyari.
Sadaka hupaswi kumuonyesha mtu ni siri yako ila ukitoa kwa kuogopa mtu hicho ni kiherehere chako, sadaka hainaga kiwango
 
Sadaka hupaswi kumuonyesha mtu ni siri yako ila ukitoa kwa kuogopa mtu hicho ni kiherehere chako, sadaka hainaga kiwango
Sadaka inafaa kuingizwa kwenye lindi la siasa?
 
hajajirekodi mkuu,halafu ujue yule ni Rais eeh!!!ni namba moja,ni public figure
Kwani hao mawaziri si public figures?

Magufuli hajui au hajali kanuni za "Separation of Church and State".
 
Sio mbaya,wala sio ajabu ujue?,,vitu vingine sio hata vya kulalamikia
 
Kwenye nyumba za ibada Rais ni muumini kama waumini wengine hana nafasi maalumu katika utaratibu wa ibada Kwa kanisa Katoliki utoaji wa sadaka upo ndani ya ratiba ya misa na katika makanisa mengi utoaji wa sadaka husimiwa na jumuia ya zamu jumuia ya zamu husimamia mambo mengi mfano usomaji wa masomo utulivu ndani ya kanisa wakati wa ibada n.k
 

Kwa Mungu hakuna kamera bali ni moyo, hakuna uraisi wala nini . Mungu anaangalia matendo sio maigizo
 
Ushahidi wa hii hekaya upo kweli?
 
Mwacheni rais wetu amtumikie Mungu wake
 
Kosa lake ni lipi hapo, UA ulitaka afanye nini?.
 
Mara moja moja siyo mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…