Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

mimi ntadamkia jimbo lakorogwe vijijin ntamchagua timotheo mzava mbunge ccm ,paulo chikira diwan ccm kata ya mazinde na Magufuli ,#ccm mbele kwa mbele, 5 mitano tena
 
Magu aache kufokea fokea watu , anajikweeeza kama Mfalme Herod , fokafoka tukana watu stupid kama mkoloni kila kukicha fokafoka tu kudhalilisha wanawake mara mwanamke mweupe ndo nitamsikiliza kuliko mweusi cheee
 
MATAGA mkuje mtuambie tangu lini kwenye mitandao kumekuwa na wapiga kura? Kila siku mnasema JF, Tweeter, Fb hakuna wapiga kura kuna wapiga kelele!?
Huoni mnaojibu na kujibu ni nyie nyie!
 
Nilichogundua wanachama wa ccm mnampenda jpm kwenye raha kwenye shida hamko nae ,hata kumjibia mapigo kwenye mitandao ya kijamii mnashindwa, siku za mbele ccm itaibidi kusajili upya ,na jpm analo la kujifunza kwa wanaccm,that niliwai andika hum jpm hakutakiwa kugombea mwaka huu pitia ccm ingetosha kuja na kauli mbiu ya NIMEOKOKA TOKA CCM na kwa kupitia chama chochote Cha upinzani asingepata tabu Sana,watu wangemuelewa haraka Sana ,ila wakati natoa wazo hili wenda nilionekana Kama kichaa,na ndo kipindi wanaccm wanasema ushindi nje nje na wakati huo niliwambia uchaguzi mkuu sio Jambo dogo mtapigwa mtiti mpaka mtafutane.
Namtukuza mungu nimemaliza mfungo wangu salama kwa taifa langu,ila kufunga si Jambo jepesi ,ndugu zangu Islamic nimewaeshim Sana mungu awabariki, na mungu ibariki nchi yangu
 
JamiiForums sasa hivi hata uki-post uzi hauonekani kwa members wengine mpaka kwanza upitiwe na moderator.Hili jambo linatia uvivu hata kuanzisha mada.Sijui wametishwa!
 
Reactions: BAK
Nyomi la Meatu limefanya Wanaccm waanze kutafuta mchawii😁😂🤣
 
Kilichobakia ni kuandaa Tallying Center ambayo itakuwa na ulinzi mkali ifikapo saa sita usiku tunakuwa na hesabu ya kura zetu za Chadema
 
yaam ushba mzigo kwan trump hatweet? imekuwaje ajabu mtu kutumia social network ku reach follows ers? mim cdm.ila.naona kama unepotezana vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama anapendwa kuliko mgombea yeyote Tz kwa nini uamini kuna wanaomchukia? Akili za mbuzi buana[emoji16][emoji16]
 
Hahahahah anafanya mkutano kawe anatoa watu rufiji hahahah
 
Nakubaliana nawe Mkuu, baadhi ya maamuzi yao ni kujitia kitanzi wenyewe na kuwakimbiza watu kule Twitter.
JamiiForums sasa hivi hata uki-post uzi hauonekani kwa members wengine mpaka kwanza upitiwe na moderator.Hili jambo linatia uvivu hata kuanzisha mada.Sijui wametishwa
 
Poyoyo mbona unapopoma sana? Tulia wacha kupaniki, Sasa Hutaki akaombe kura Mtwara?

Mh Makamu wa Rais Mama Samia na Mh PM Majaliwa huko kote wanakozunguka kumbe wanaenda kufanya nini? Au hujui Mh Majaliwa ni Mbunge wa Ruwangwa kwa nini aende Arusha na Kilimanjaro?

Rsis alipoacha kampeni akafanya shughuli nyingine hukuelewa lolote kumbe. Uchaguzi na Kampeni 2020 is a project done.
 

Bro waliozembea Maghala ya Mbagala na Gongo la Mboto unajidai kujisahaulisha ama? Ni endelee kujibu ama niache basi imetosha. Pale hawakufa wapiganaji wetu?

Wewe ni mnufaika wa ile miradi ya wakati wa uchaguzi kuagiza magari kibao mpaka mengine mabofu yaliyo pigwa renovation kwa mkono wa brush za rangi za ukutani.
 
Magufuli will win this election with very many votes because Tundu Lissu supports gays we are not ready to have a president like Tundu Lissu maybe he can go to to be president maybe in Belgium but not here


Your English is as broken as Jiwe's, is he your father or Uncle??
 
Reactions: BAK
Wazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.

October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sema atapigiwa kura na wachumia tumbo wasiojitambua.wao matumbo yao ni zaidi ya taifa
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…