Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Aliwakataza msichangie ujenzi wa maabara ya shule leo anawaambia mumchangie yeye! Wajinga hawatoisha dunia hii.



MAGUFULI4LIFE.
Mkuu sayansi ya siasa, muulize mh bashiru si nasikia ana PhD ya Mambo ya siasa japo haifanyi vizuri , maana kwa mwaka huu Moto mkali pande zote za tz
 

Jiwe amefikia hatua mbaya ya kutojiamini mpaka ameamua kwenda kuomba msaada wa mashehe wamsomee dua ili ashinde uchaguzi!! Hapo mashetani wanayomtumia mwishowe yatamrudia mara watakapotaka afuate masharti yao na yeye kukaidi. Huyo shehe anayemuombea dua pia ni rafiki wa BASHITE hivyo akijinasibu kuwa amemsaidia kupata ushindi ,atataka pia apewe fadhila yake kwa kumtaka ampe cheo BASHITE!!! Kama rais, hatakiwi kuwa mshirikina na kuwa compromised ni hatari kwa usalama wa nchi!!
 
Tatizo lake moja tu, anatumia madaraka yake ya Urais vibaya kutesa na kuumiza raia wake na pia ni MUUAJI..

Hatuna tatizo jingine na yeye kama binadamu mwenzetu. Lakini hili la kudhulumu uhai wa watu, hapana. Lazima ATUBU kwanza...

Damu za watu alioagiza wauwawe zinamhukumu toka ardhini na zinamshtaki mbele ya Mungu muumba!!
 
He mungu anakuona ,naona waanza matusi ,da jamani heb punguzeni matusi kada, na kwa mpeni zinazoendelea pesa uzipatazo weka kibubu mkuu si mda Mambo yako yatakua magum,hacha matusi Mara moja
 

Attachments

  • 2539355_IMG-20201004-WA0010.jpg
    43.8 KB · Views: 1
Ukiondoa chuki utaweza kuona.



MAGUFULI4LIFE.
 
Wazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.

October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Jiongeze. Hata aibu huna!
 
Jiongeze. Hata aibu huna!
Mwenye aibu zako tunakuomba pamoja na hizo aibu October 28th jura yako mpe JPM kwa MAENDELEO ya Tanzania

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 

Acha kujaribu kuhamisha hoja nyepesi kwa hoja nzito
JPM kashindwa kulinda nchi ; vifaa Havina matunzo ; Askari hawana mafunzo ya kutosha na hata wanaoenda wanakatwa mshahara “ada” ; kupigwa na kudhalilishwa huko kusini ni matokeo

Wewe Unajua matokeo ya matunzo hafifu mwezi uliopita ndege vita imeanguka moro na kuuwa askari wawili mara tu baada ya kupaaa kutokana na kukaaa muda mrefu bila kuruka
Hata marubani wanalazimika kuruka mara nyingi ili wawe fit na wanashindwa kwa kuwa baba yenu hatumi hata pesa za mafuta
 
Kosa kubwa Sana kumuiga Nyerere kwa kufanya mind control zama hizi za digital Nyerere alifaulu sababu hakukuwepo kwa mitandao, pia huwezi ongoza tz kwa itikadi za rwanda utafeli tu hata uwe mjuaji kuliko nyuki.
 
Kwa hili nakuunga mkono,askari yake mafunzo sio kubangua korosho au kubeba korosho
 

Ndege vita ya mafunzo iliyodondokea Msata barabarani ilitunzwa au haikutunzwa? Wewe unazungumzia yaliyotokea kusini kwa nini usianzie tatizo lilipo lelewa? Hujui awamu iliyopita watu wenye mrengo wa kidini waliachiwa wafanye mafunzo misituni na serikali ikijidai haioni? Wengine walipokamatwa huko handeni nafikiri tena watoto wakaombewa wachukuliwe na vyombo vya ulinzi na usalama walelewe maana ni vipaji. Pumbafu kabisa nyie. Mtengeneze tatizo mue wanajeshi wazalendo kipindi hiki cha uchaguzi ili mlitumie kama mitaji yenu ya propoganda za kisiasa na mazingira ya kujiingizia vipato visivyo halali. Mashetani wakubwa.

Hata hiyo ndege kudondoka kama kuna ukweli si ajabu ni mamluki wenu na ndio maana unaitumia hapa kama propoganda za kiipuuzi
 
Ufipa wanamnadi JPM sasa, hilarious!!
 

Ushasema ya mafunzo ... yaaani ni maalum kwa waanafunzi ....
Na kuweka record Sawa haikuaanguka ilifanya emergency landing barabarani kutokana na mwanafunzi kukorofisha kitu walifanikiwa kutua bahati mbaya FUSO ikatokea ikawagonga

Usitake kuhamishia matatizo Serious kulaumu wengine ; wao sio waliowambia mkate askari posho za mafunzo; muwakate ration ; muwaondolee maduka yao ; mkate hata bia zao za kupooza koo zilikua zinawapa faraja Sana na duniani kote askari hutendewa hivyo wanasafiiri na wanaona wenzao ; hata sare mnashindwa kuwapa
KUBALI TATIZO LIPO

GWAJIMA ambaye juzi kuna mtu analia aletewe ni kamanda wa kundi la wanamgambo wa “interahamwe “ wanaodai ni walinzi wa Magu walio msituni ambao kuna ushahidi wa kipolisi upo kwa DPP ... jaribu kufikiria ikitokea hakushinda au Kashinda mwaka 2025 kaingia mtu hamtaki; silitakua kundi la waasi

Ugaidi ni tatizo la dunia na sio la nchi moja .; ndio maana tulienda kuwapiga M23

Huyu ambaye kutwa mnalalmika anawahujumu hamuwezi kuacha akapumzika ; anaweza akawa na makosa yake Lakini he was the best in national security ; kaongoza nchi kuikabilii MALAWI ; kuikabali RWANDA na hila zake ; kashinda vita Comoro ; kashinda vita M23 ; kazi ya kuwaondoa magaidi Mkiru na Amboni alimaliza yalibaki masaki a machache ambayo magu anaingia alimaaliza kwa mpango wake wa vita . ... ndege za Doria na meli vita ziliruka au kuzunguka Kila siku hasa kwenye maji kuzuia magaidi na wavuvi haramu ; ..... Sasa kama hupeleki mahitaji kwanini wasirudi na hakuna pesa ya doria

Lakini kumbuka huyu mnayemlamlaumu na hata kumdhalilisha kwenye ufunguzi wa kampeni Dodoma kwa hata kumnyima muda wa kusalimia ndio juzi Kawe anaombwa hata bila kuwa consulted akafanye kampeni Mbagalla na maeneo Mengine
 

Jibu hilo la watu kuachiwa wajifunze msituni huko handeni na kwengineko. Polisi 8 waliuwa kibiti usijifanye kupotezea. Kilindi handeni wanawake walikuwa wanachapwa viboko wasipovaa hijabu na bulka. Na ndio wale watoto waliokuwa mafunzoni msituni walipokamatwa wakaombewa kuchukuliwa kama vipaji kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Bahati mbaya si kimbuki nani aliwaombea. Hii nayo ukiitazama ni mbinu ya kupenyeza watu kwenye mfumo. Ni wangapi walipenyezwa hivyo ngumu kujua? Lengo linajulikana kukwamisha atakaye nifuatia na kutetea maslahi yao.

UDOM wakati ule ni kama kilikuwa cha mrengo flani hivi. Haya yote hujui? Na wengi wa wale waliokuwa na mikakati hii ndio wako mbele kuhakikisha kwa namna yeyote iwayo, serikali ya awamu ya 5 inashindwa kudeliver Kimsingi ndio sehemu ya kikundi cha maadui wa ndani wa Taifa la Tanzania.

Maadui wa ndani ya Tanzania na waangalia kama joka kubwa ambalo limeficha kichwa chake hakionekani. Limetotoa vifaranga na vingine ndio vinasumbua hata hapa JF. Njia pekee ya kumaliza tatizo ni kutafuta kichwa cha joka hili na kukiponda.
 
Mwenye aibu zako tunakuomba pamoja na hizo aibu October 28th jura yako mpe JPM kwa MAENDELEO ya Tanzania

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Usishiriki dhambi za kuteswa kwa watz
 
Usishiriki dhambi za kuteswa kwa watz
Nani kateswa wewee hebu October 28th mapema tuu nenda kampe kura ya ndio JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…