4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu sayansi ya siasa, muulize mh bashiru si nasikia ana PhD ya Mambo ya siasa japo haifanyi vizuri , maana kwa mwaka huu Moto mkali pande zote za tzAliwakataza msichangie ujenzi wa maabara ya shule leo anawaambia mumchangie yeye! Wajinga hawatoisha dunia hii.
MAGUFULI4LIFE.