Nafanya kazi tena nzuri na ninalipwa vizuri heheheh! Hapa kazi Tuu.Ukiwa kula kulala huwezi jua
Mukuu Shehullohi, teli zemu ze turusi, japo kwa sasa watajifanya hawaelewi, lakini baada ya October 28, tutaelewana tuu.Ndio mbinu yenu hii nyie mlioshindwa kabla ya uchaguzi. Mkamuambia Lissu arudi kanda ya ziwa ili mpatepo tupicha twa kutapelia mitandaoni. You miserable loosers!
Mjazeni Lissu ujinga, na kakubali kweli kuwa zuzu, kajaa tele. Eti nitaingiza nchi nzima barabarani. Pumbafu zake atamuandamanisha nani mjinga akawe brison! anafikiri Watanzania ni wajinga wa kuswagwa kama makondoo.
Kumbe we ni mnufaika mlipwa vizuri utajulia wapi msoto wanaopitia watanzaniaNafanya kazi tena nzuri na ninalipwa vizuri heheheh! Hapa kazi Tuu.
Kijana hata achaguliwe mwenye sera za ubwabwa hakuna siku chakula kitakufuata mezani bidiika.
October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Majibu aliyopewa sasa kule Twitter ndiyo utajua ni kiasi gani huyu anachukiwa.
amepita
Mukuu Shehullohi, teli zemu ze turusi, japo kwa sasa watajifanya hawaelewi, lakini baada ya October 28, tutaelewana tuu.
P
Jibu hilo la watu kuachiwa wajifunze msituni huko handeni na kwengineko. Polisi 8 waliuwa kibiti usijifanye kupotezea. Kilindi handeni wanawake walikuwa wanachapwa viboko wasipovaa hijabu na bulka. Na ndio wale watoto waliokuwa mafunzoni msituni walipokamatwa wakaombewa kuchukuliwa kama vipaji kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Bahati mbaya si kimbuki nani aliwaombea. Hii nayo ukiitazama ni mbinu ya kupenyeza watu kwenye mfumo. Ni wangapi walipenyezwa hivyo ngumu kujua? Lengo linajulikana kukwamisha atakaye nifuatia na kutetea maslahi yao.
UDOM wakati ule ni kama kilikuwa cha mrengo flani hivi. Haya yote hujui? Na wengi wa wale waliokuwa na mikakati hii ndio wako mbele kuhakikisha kwa namna yeyote iwayo, serikali ya awamu ya 5 inashindwa kudeliver Kimsingi ndio sehemu ya kikundi cha maadui wa ndani wa Taifa la Tanzania.
Maadui wa ndani ya Tanzania na waangalia kama joka kubwa ambalo limeficha kichwa chake hakionekani. Limetotoa vifaranga na vingine ndio vinasumbua hata hapa JF. Njia pekee ya kumaliza tatizo ni kutafuta kichwa cha joka hili na kukiponda.
Habar ndiyo hiyoWazalendo na wapenda maendeleo ya Tanzania tutamchagua JPM kwa kishindo.
October 28 kura zote za ndio ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Heheheh! Acha tuhangaishane kisaikolojia hapa wewe si ulisema mimi nalala tuu ..amini unachoamini na mimi niamini ninacho amini.Kumbe we ni mnufaika mlipwa vizuri utajulia wapi msoto wanaopitia watz,
Kwenye huuu uzembe wa radicalization nakubaliana na wewe kuna kosa kubwa sana Sana lilifanyika na linaendelea hasa Sasa ambalo kuna Wimbi la kuchomwa shule kati ya Bakwata na wakizani wake sio mambo ya kuyaacha
Lakini pia haiondoi dosari kubwa iliyopo Sasa kwenye kuhudumia majeshi yetu kimaslahi ; matunzo ya askari na vifaaa na mafunzo
Lifanyiwe kazi
Umoja wa kitaifa ufanyiwe kazi
Nchi yetu Sote
Hapo sasa na kuelewa vizuri. Ila futa lile la maduka ya jeshini na jinsi yalivyokuwa yanaendeshwa kipindi kile. Utafutwe utaratibu mzuri wa kuhakikisha nia njema ya kuwatunza walio jitolea kupigania raia wenzao inatekekezwa vizuri. Isiwe nia hiyo njema inakuwa mrija ni bomba hasa la kuwanufaisha magambacholi huku walengwa wakizugwa kwa kulambishwa lawalawa.
Najua kuna watu walikua wananufaika na Bidhaa za kuburudusha Askari kama Bia ; Sigara ; Konyagi etc
Nyerere hadi Mwinyi wakati wa Makamanda wazee wetu Gen David Musuguri na Gen Ernest Mwita Kiaro walikua wanatoa special order zinakuja la NEMBO YA MAJESHI ( armed forces ) HAZIUZWI
hivyo ikawa haiwezekani kuuza mitaani Bidhaa zenye nafuu
Kwani kukuomba kura anakupangia umchague? Ndiyo maana anasema anakuomba kura kwa kuwa anajua una uhuru wa kumpigia umpendaye. Vivyo hivyo wagombea wengine nao WANAOMBA kura yako.Sisi hatupangiwi, tulijiandikisha wenyewe kura tutampa tumpendaye..
Hapo Tz awamu zote zilizopita hakukuwa na huo uovuNchi gani ambayo haina matukio kama haya?
MAGUFULI4LIFE.
Ww unasubiri hadi yakukute ndo uchukue hatua?!Kamanda mwenzangu,wewe mbona haujatekwa? Mbona hujabambikiwa kesi? Mishahara na na madaraja ni ishu ndogo sana.
Haujawahi hata kusikia utekaji wa vituo vya polisi? Au uchomaji wa makanisa?Hapo Tz awamu zote zilizopita hakukuwa na huo uovu
Wafanyakazi ambao hatupandishwa madaraja yetu kwa haki..wala hatujaongezewa mishahara tangu kipindi cha JK au watumishi gani unaongelea tuliopandishiwa na bodi ya mikopo kutoka 8 mpk 15 asilimia na retantion fee ya aslimia 6.....Sisi watumishi tutamchagua Magufuli tena kwa kishindo.
Lissu atachaguliwa na waliofaidika na ufisadi na mnyororo wa ufisadi ambao na wale wa vya BURE SYNDROME.
Hatuongelei hizo taasisi. Tunamaanisha raia wa kawaida, raia wema kufanyiwa uovu Kama:Haujawahi hata kusikia utekaji wa vituo vya polisi? Au uchomaji wa makanisa?
Kwanza umezaliwa mwaka gani?
MAGUFULI4LIFE.