Jibu hilo la watu kuachiwa wajifunze msituni huko handeni na kwengineko. Polisi 8 waliuwa kibiti usijifanye kupotezea. Kilindi handeni wanawake walikuwa wanachapwa viboko wasipovaa hijabu na bulka. Na ndio wale watoto waliokuwa mafunzoni msituni walipokamatwa wakaombewa kuchukuliwa kama vipaji kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Bahati mbaya si kimbuki nani aliwaombea. Hii nayo ukiitazama ni mbinu ya kupenyeza watu kwenye mfumo. Ni wangapi walipenyezwa hivyo ngumu kujua? Lengo linajulikana kukwamisha atakaye nifuatia na kutetea maslahi yao.
UDOM wakati ule ni kama kilikuwa cha mrengo flani hivi. Haya yote hujui? Na wengi wa wale waliokuwa na mikakati hii ndio wako mbele kuhakikisha kwa namna yeyote iwayo, serikali ya awamu ya 5 inashindwa kudeliver Kimsingi ndio sehemu ya kikundi cha maadui wa ndani wa Taifa la Tanzania.
Maadui wa ndani ya Tanzania na waangalia kama joka kubwa ambalo limeficha kichwa chake hakionekani. Limetotoa vifaranga na vingine ndio vinasumbua hata hapa JF. Njia pekee ya kumaliza tatizo ni kutafuta kichwa cha joka hili na kukiponda.