Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Ukiwa kula kulala huwezi jua
Nafanya kazi tena nzuri na ninalipwa vizuri heheheh! Hapa kazi Tuu.

Kijana hata achaguliwe mwenye sera za ubwabwa hakuna siku chakula kitakufuata mezani bidiika.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ndio mbinu yenu hii nyie mlioshindwa kabla ya uchaguzi. Mkamuambia Lissu arudi kanda ya ziwa ili mpatepo tupicha twa kutapelia mitandaoni. You miserable loosers!

Mjazeni Lissu ujinga, na kakubali kweli kuwa zuzu, kajaa tele. Eti nitaingiza nchi nzima barabarani. Pumbafu zake atamuandamanisha nani mjinga akawe brison! anafikiri Watanzania ni wajinga wa kuswagwa kama makondoo.
Mukuu Shehullohi, teli zemu ze turusi, japo kwa sasa watajifanya hawaelewi, lakini baada ya October 28, tutaelewana tuu.
P
 
Nafanya kazi tena nzuri na ninalipwa vizuri heheheh! Hapa kazi Tuu.

Kijana hata achaguliwe mwenye sera za ubwabwa hakuna siku chakula kitakufuata mezani bidiika.

October 28th kura zote za ndio ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Kumbe we ni mnufaika mlipwa vizuri utajulia wapi msoto wanaopitia watanzania
 
Mukuu Shehullohi, teli zemu ze turusi, japo kwa sasa watajifanya hawaelewi, lakini baada ya October 28, tutaelewana tuu.
P

Mkuu haswa Tanzania imepitia kipindi flani cha ajabu hapo nyuma. Tumepata Rais anayetaka kukerebisha mambo wanatokea wahuni kumvuruga. Na ninaposema ni wahuni na maanisha hivyo.

Ila uhuni wao ndio utaenda kuwatafuna. Watatafunwa na matokeo ya njama zao. Kwani ndio zitahalalisha kutafunwa kwao.
 
Jibu hilo la watu kuachiwa wajifunze msituni huko handeni na kwengineko. Polisi 8 waliuwa kibiti usijifanye kupotezea. Kilindi handeni wanawake walikuwa wanachapwa viboko wasipovaa hijabu na bulka. Na ndio wale watoto waliokuwa mafunzoni msituni walipokamatwa wakaombewa kuchukuliwa kama vipaji kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Bahati mbaya si kimbuki nani aliwaombea. Hii nayo ukiitazama ni mbinu ya kupenyeza watu kwenye mfumo. Ni wangapi walipenyezwa hivyo ngumu kujua? Lengo linajulikana kukwamisha atakaye nifuatia na kutetea maslahi yao.

UDOM wakati ule ni kama kilikuwa cha mrengo flani hivi. Haya yote hujui? Na wengi wa wale waliokuwa na mikakati hii ndio wako mbele kuhakikisha kwa namna yeyote iwayo, serikali ya awamu ya 5 inashindwa kudeliver Kimsingi ndio sehemu ya kikundi cha maadui wa ndani wa Taifa la Tanzania.

Maadui wa ndani ya Tanzania na waangalia kama joka kubwa ambalo limeficha kichwa chake hakionekani. Limetotoa vifaranga na vingine ndio vinasumbua hata hapa JF. Njia pekee ya kumaliza tatizo ni kutafuta kichwa cha joka hili na kukiponda.

Kwenye huuu uzembe wa radicalization nakubaliana na wewe kuna kosa kubwa sana Sana lilifanyika na linaendelea hasa Sasa ambalo kuna Wimbi la kuchomwa shule kati ya Bakwata na wakizani wake sio mambo ya kuyaacha

Lakini pia haiondoi dosari kubwa iliyopo Sasa kwenye kuhudumia majeshi yetu kimaslahi ; matunzo ya askari na vifaaa na mafunzo
Lifanyiwe kazi
Umoja wa kitaifa ufanyiwe kazi

Nchi yetu Sote
 
Kumbe we ni mnufaika mlipwa vizuri utajulia wapi msoto wanaopitia watz,
Heheheh! Acha tuhangaishane kisaikolojia hapa wewe si ulisema mimi nalala tuu ..amini unachoamini na mimi niamini ninacho amini.

Hakuna siku pesa itakufuata mtaani kama hautotaka kufanya kazi.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Kwenye huuu uzembe wa radicalization nakubaliana na wewe kuna kosa kubwa sana Sana lilifanyika na linaendelea hasa Sasa ambalo kuna Wimbi la kuchomwa shule kati ya Bakwata na wakizani wake sio mambo ya kuyaacha

Lakini pia haiondoi dosari kubwa iliyopo Sasa kwenye kuhudumia majeshi yetu kimaslahi ; matunzo ya askari na vifaaa na mafunzo
Lifanyiwe kazi
Umoja wa kitaifa ufanyiwe kazi

Nchi yetu Sote

Hapo sasa na kuelewa vizuri. Ila futa lile la maduka ya jeshini na jinsi yalivyokuwa yanaendeshwa kipindi kile. Utafutwe utaratibu mzuri wa kuhakikisha nia njema ya kuwatunza walio jitolea kupigania raia wenzao inatekekezwa vizuri. Isiwe nia hiyo njema inakuwa mrija si mrija lilikuwa ni bomba hasa la kuwanufaisha magambacholi huku walengwa wakizugwa kwa kulambishwa lawalawa.
 
Hapo sasa na kuelewa vizuri. Ila futa lile la maduka ya jeshini na jinsi yalivyokuwa yanaendeshwa kipindi kile. Utafutwe utaratibu mzuri wa kuhakikisha nia njema ya kuwatunza walio jitolea kupigania raia wenzao inatekekezwa vizuri. Isiwe nia hiyo njema inakuwa mrija ni bomba hasa la kuwanufaisha magambacholi huku walengwa wakizugwa kwa kulambishwa lawalawa.

Najua kuna watu walikua wananufaika na Bidhaa za kuburudusha Askari kama Bia ; Sigara ; Konyagi etc
Nyerere hadi Mwinyi wakati wa Makamanda wazee wetu Gen David Musuguri na Gen Ernest Mwita Kiaro walikua wanatoa special order zinakuja la NEMBO YA MAJESHI ( armed forces ) HAZIUZWI
hivyo ikawa haiwezekani kuuza mitaani Bidhaa zenye nafuu
Huduma kama hizo huleta Hamasa Sana na nchi nyingi hasa za commonwealth hiyo ni huduma mahsusi ambayo inalenga kuwafanya askari wa Aina zote kuona wanathaminiwa na ni tofauti na Raia na huwafanya wawe na moyo Sana
 
Najua kuna watu walikua wananufaika na Bidhaa za kuburudusha Askari kama Bia ; Sigara ; Konyagi etc
Nyerere hadi Mwinyi wakati wa Makamanda wazee wetu Gen David Musuguri na Gen Ernest Mwita Kiaro walikua wanatoa special order zinakuja la NEMBO YA MAJESHI ( armed forces ) HAZIUZWI
hivyo ikawa haiwezekani kuuza mitaani Bidhaa zenye nafuu

Haya ndio mawazo mazuri, na umoja wa kitaifa utapatikana kama baadhi ya watu watapata hekima na wakashinda dhambi ya usangarara. Sangarara ni aina ya nyoka maarufu kule pwani na mwenye tabia za ajabu ajabu hivi.
 
Hata Lissu kaomba kura mtandaoni, tayari wote nimeshawagongea 'like' sitaki upendeleo.
 
Sisi hatupangiwi, tulijiandikisha wenyewe kura tutampa tumpendaye..
Kwani kukuomba kura anakupangia umchague? Ndiyo maana anasema anakuomba kura kwa kuwa anajua una uhuru wa kumpigia umpendaye. Vivyo hivyo wagombea wengine nao WANAOMBA kura yako.

Kuitikia ombi lako, kura yangu nitakupa JPM kwa kuwa ni chaguo langu.
 
Naona lumumba buku Saba allowance imetoka sio kwa Fuji izi.

Unatupiagiaje Fuji watu hatuoni hela, watu tumefungua mtaji wa 20000/= mnatupa kitambulisho Cha 20000/= afu mazingira yenyewe ya biashara magumu.

Unatuahaqishije sisi watumishi ambao hatujawai kuongezewa mshahara miaka mitano sana na gharama za maisha zinapanda Kila siku.

Unatushaurije sisi wanufaika wa hesbl ambao tulisaini 8% ghafla tunaambiwa 15% bila ata nyongeza ya mshahara

Ebu tupelekeeni ujinga huo huko Burigi

Tanzania Meko Hana nafasi Tenaaaaaaaa

By the way hatumtakiiiiiiiiiiiiii
 
Sisi watumishi tutamchagua Magufuli tena kwa kishindo.

Lissu atachaguliwa na waliofaidika na ufisadi na mnyororo wa ufisadi ambao na wale wa vya BURE SYNDROME.
Wafanyakazi ambao hatupandishwa madaraja yetu kwa haki..wala hatujaongezewa mishahara tangu kipindi cha JK au watumishi gani unaongelea tuliopandishiwa na bodi ya mikopo kutoka 8 mpk 15 asilimia na retantion fee ya aslimia 6.....
labda kama ww ni mtumishi wa kuteuliwa
 
Haujawahi hata kusikia utekaji wa vituo vya polisi? Au uchomaji wa makanisa?
Kwanza umezaliwa mwaka gani?



MAGUFULI4LIFE.
Hatuongelei hizo taasisi. Tunamaanisha raia wa kawaida, raia wema kufanyiwa uovu Kama:
Kutekwa, kuteswa, kubambikiziwa kesi zisizo na dhamana, kuuawa, nk
 
Back
Top Bottom