Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aomba kura mtandaoni

Umeandika kwa maumivu kweli. Pole.

Hujui "JPM kawakosea nini hadi mmchukie?"

Basi ngoja nikusaidie kidogo kukukumbusha kosa moja alilowafanyia. Hawa unaosema wanamchukia hawataki kufanywa kama mali binafsi, kama mifugo hivi ya mtu awaye yeyote, hata akiwa rais.

Umenielewa? Na hili ni kosa moja tu, bado yapo mengi makosa aliyofanya na kusababisha achukiwe, kama kweli anachukiwa.

Kama wewe umeteuliwa kwenye nafasi ya kuwakandamiza hao watu wanaomchukia, basi elewa, na wewe umechangia kuchukiwa huko.

Na hapo mwisho unaandika "MAGUFULI FOR LIFE"? THAT CAN ONLY BE A FIGMENT OF YOUR IMAGINATION!

Wewe ni mtupu kweli kichwani.
Kama vile Walibya tu walivyodanganywa kubwa Gadaffi anaowaongoza ki dikteta ndoa na wewe unakomaa hapohapo. Toa tongotongo hizo.

MAGUFULI4LIFE.
 
Wazee za asubuhi,bila shaka mko poa na kwa wale ambao afya zao haziko sawa M/Mungu awafanyie wepesi.

Kama somo linavyosema hapo juu sina cha kuongezea.Zifuatazo ni baadhi tu wa screen shot kwa ushahidi kamili zama twitter ukajionee

Niwatakie asubuhi na ijumaa njema.View attachment 1601676View attachment 1601677View attachment 1601678View attachment 1601679View attachment 1601680View attachment 1601681View attachment 1601682View attachment 1601683
Mkuu usidanganywe wala usidanganye. Kuhusu tweets mbalimbali na kuona kama nyingi hazimuelewi JPM Sasa ipo hivi, kuna uhuni unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo na hii jf kufuta comment zinazomkubali rais Magufuli ili kujenga picha kuwa hakubaliki sana mitandaoni. Mfano mkuu kuna uzi humu uliruhusu maswali kwa Lisu lakini yale maswali ya kumuumbua bwana Lisu yote yanablockiwa na kuondolewa fasta na kuachwa maswali ya mkaa una rangi gani. Mimi mwenyewe nimelifanyia kazi swala hili na soon kila kitu kitakuwa wazi.

MAGUFULI4LIFE.
 
Hatudanganyiki kwa propaganda ya Libya,Iraq,Misri,Burundi,DRC nk.Tunataka Uhuru, Haki na Maendeleo endelevu kwa wote.
Hizi ni propaganda mfu za lumumba mbona awatoi mifano ya nguvu ya umma iliyoleta mabadiliko Malawi, Zimbabwe,Sudani, Tunisia, algeria
 
Attachments

  • image2.jpg
    image2.jpg
    7.2 KB · Views: 1
  • image3.jpg
    image3.jpg
    9.1 KB · Views: 1
  • images1.jpg
    images1.jpg
    9.4 KB · Views: 1
Mkuu usidanganywe wala usidanganye. Kuhusu tweets mbalimbali na kuona kama nyingi hazimuelewi JPM Sasa ipo hivi, kuna uhuni unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo na hili jf kufuta comment zinazomkubala rais Magufuli ili kujenga picha kubwa hakubaliki sana mitandaoni. Mfano mkuu kuna uzi humu uliruhusu maswali kwa Lisu lakini yale maswali ya kumuumbua bwana Lisu yote yanablockiwa na kuondolewa fasta na kuachwa maswali ya mkaa una rangi gani. Mimi mwenyewe nimelifanya kazi swala hili na soon kila kitu kitakuwa wazi.

MAGUFULI4LIFE.
Ye si anamiliki magazeti ya tbc,uhuru, mzalendo na magazeti ya musiba si akapige propaganda huko
 
Watz mkirudia Tena kosa "Mwafwaaa' atohitaji Tena kura zenu, atakushughulikie haswaa
 
Mkuu usidanganywe wala usidanganye. Kuhusu tweets mbalimbali na kuona kama nyingi hazimuelewi JPM Sasa ipo hivi, kuna uhuni unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo na hili jf kufuta comment zinazomkubala rais Magufuli ili kujenga picha kubwa hakubaliki sana mitandaoni. Mfano mkuu kuna uzi humu uliruhusu maswali kwa Lisu lakini yale maswali ya kumuumbua bwana Lisu yote yanablockiwa na kuondolewa fasta na kuachwa maswali ya mkaa una rangi gani. Mimi mwenyewe nimelifanya kazi swala hili na soon kila kitu kitakuwa wazi.

MAGUFULI4LIFE.
Ukweri kwanza Magu nakubalika sana kwenye maflayover,mandege,barabara na vichochoroni ...tayari watu wameshaamua nani atanyimwa kura.
 
JOHN POMBE MAGUFULI ..AMIRI JESHI MKUU MUOGA KULIKO WOTE KUPATA KUTOKEA TANZANIA ....ANAONEA WANANCHI WANYONGE ...KUFICHA UOGA WAKE NA KUJIVIKA USHUJAAA ....LAKINI IKITOKEA VITA YA KWELI ANAJIFUNGIA NDANI ......AMEOGOPA KWENDA LINDI NA MTWARA KWAKUA TU ANAOGOPA WANANCHI NA KOROSHO ZAO LAKINI KIKUBWA ANAOGOPA WAASI WA MSUMBIJI [ WALIOKUWA MKIRU].....

LAKINI NI RAIS AMBAYE AMEHARIBU SANA MFUMO WETU WA ULINZI NA USALAMA KWA KUPANDISHA VYEO KWA NEPOTISM , LEO INAKUJA VITA YA KWELI VIJANA HAWANA UWEZO ...
HAIJAWAHI KUTOKEA KWENYE MFUMO WETU WA ULINZI ...KUWAKATA PESA YA MAFUNZO [ADA] ASKARI WAKIENDA KWENYE MAFUNZO YA WELEDI ....HAYO MAFUNZO WANAFANYA ILI KULINDA NCHI ....WEWE UNAWAKATA PESA ..INAONDOA SHAUKU YA VIJANA KWENDA KOZI ...

MAGUFULI KWA MIAKA MITANO MFULULIZO AMEKUWA HAPELEKI KWENYE DETACHMENT ZA USALAMA ZENYE VIFAA VYA KIMIKAKATI PESA KWA AJILI YA ROUTINE TESTS , MAINTANANCE AND REPAIR ....
NDEGE ZETU NA MELI VITA HAZIPEWI MAFUTA YA KUFANYA RECONNAISSANCE ....HAO WAASI WAMEACHWA HADI WANATAMBA KWA AJILI YA UBAHILI WAKE ...
MARAIS WALIOPITA WALITUMIA PESA NYINGI SANA KUNUNUA VIFAA VYA GHARAMA NA KIMIKAKATI HADI TUKAWA TUNAOGOPWA LEO HII AMESHINDWA KUTOA PESA YA KUVIHUDUMIA HAVIKO COMBAT WORTHY ....RAIS ATAKAYEKUJA ITABIDI ATUMIE GHARAMA KUBWA SANA KURUDISHA FIRE POWER LEVEL YA TANZANIA .......
BARAZA LA USALAMA WA TAIFA LIMEKUWA NA WATU WAOGA SANA NDIO WAMETUFIKISHA HAPA KWA KUSHINDWA KUMSHAURI KWA WELEDI AU HATA KUWA WAKALI... PALE INAPOBIDI ..
KUNA MARAIS HUWA WANAKUWA MAMLUKI WENYE LENGO LA KUHARIBU MFUMO WA KIULINZI ILI KUFANYA NCHI IANGUKE KWA WATU WALIOMTUMA ....KWA UHARIBIFU ULIOFANYIKA KWENYE MFUMO RASILIMALI WATU NA VIFAA VITA .....LEO HII HATUNA UWEZO WA KUVIMBA KAMA SUPPER POWER ...UNAWEZA KUHISI KATUMWA NA BAHIMA KAMA GOBERCHOV ALIVYOTUMWA KUANGUSHA NGUVU ZA USSSR .......
 
Wazee za asubuhi,bila shaka mko poa na kwa wale ambao afya zao haziko sawa M/Mungu awafanyie wepesi.

Kama somo linavyosema hapo juu sina cha kuongezea.Zifuatazo ni baadhi tu wa screen shot kwa ushahidi kamili zama twitter ukajionee

Niwatakie asubuhi na ijumaa njema.View attachment 1601676View attachment 1601677View attachment 1601678View attachment 1601679View attachment 1601680View attachment 1601681View attachment 1601682View attachment 1601683
Mkuu usidanganywe wala usidanganye. Kuhusu tweets mbalimbali na kuona kama nyingi hazimuelewi JPM Sasa ipo hivi, kuna uhuni unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo na hili jf kufuta comment zinazomkubala rais Magufuli ili kujenga picha kubwa hakubaliki sana mitandaoni. Mfano mkuu kuna uzi humu uliruhusu maswali kwa Lisu lakini yale maswali ya kumuumbua bwana Lisu yote yanablockiwa na kuondolewa fasta na kuachwa maswali ya mkaa una rangi gani. Mimi mwenyewe nimelifanya kazi swala hili na soon kila kitu kitakuwa wazi.

MAGUFULI4LIFE.
Magufuli will win this election with very many votes because Tundu Lissu supports gays we are not ready to have a president like Tundu Lissu maybe he can go to to be president maybe in Belgium but not here
Kuna uhuni unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kufuta comments zinazomkubali MH.JPM na kuachwa chache ili ionekane hakubaliki sana mitandaoni. Hii kitu ni proved.

MAGUFULI4LIFE.
 
Mene mene tekeleni, ufunuo 13:10,
Wamepimwa wameonekana hawatoshi
 
Attachments

  • FB_IMG_1600884518353.jpg
    FB_IMG_1600884518353.jpg
    36.1 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1600867028862.jpg
    FB_IMG_1600867028862.jpg
    47.4 KB · Views: 1
Amini msiamini mnaomchukia JPM kwa sasa mnajitahidi kutafuta faraja japo muuburudishe moyo wenu hata kwa sekunde kadhaa. Lakini ukweli unaufahamu fika kubwa mh.JPM anapendwa na kukubalika na watanzania kuliko mgombea urais yoyote TZ. Poleni sana JPM kawakosea nini hadi mumchukie? Au ndio zile fasheni za ki Libya. Toeni tongotongo hakuna mtu ataekuletea pesa mfukoni.

MAGUFULI4LIFE.
"Msiponichaguria mwanaCCM siwaretei maji na mtajuta" hii ndio Tanzania tuliyoachiwa na Mwalimu ? Hivi ndio Mwalimu anaenziwa kwa vitendo sio?
 
Sawa kaka si mbaya ukaangalia na hii.
Mkuu usidanganywe wala usidanganye. Kuhusu tweets mbalimbali na kuona kama nyingi hazimuelewi JPM Sasa ipo hivi, kuna uhuni unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo na hii jf kufuta comment zinazomkubali rais Magufuli ili kujenga picha kuwa hakubaliki sana mitandaoni. Mfano mkuu kuna uzi humu uliruhusu maswali kwa Lisu lakini yale maswali ya kumuumbua bwana Lisu yote yanablockiwa na kuondolewa fasta na kuachwa maswali ya mkaa una rangi gani. Mimi mwenyewe nimelifanyia kazi swala hili na soon kila kitu kitakuwa wazi.

MAGUFULI4LIFE.
Cheki na hii pia..na hizi pia
20201016_072302.jpg
 
Back
Top Bottom