Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Kama vile Walibya tu walivyodanganywa kubwa Gadaffi anaowaongoza ki dikteta ndoa na wewe unakomaa hapohapo. Toa tongotongo hizo.Umeandika kwa maumivu kweli. Pole.
Hujui "JPM kawakosea nini hadi mmchukie?"
Basi ngoja nikusaidie kidogo kukukumbusha kosa moja alilowafanyia. Hawa unaosema wanamchukia hawataki kufanywa kama mali binafsi, kama mifugo hivi ya mtu awaye yeyote, hata akiwa rais.
Umenielewa? Na hili ni kosa moja tu, bado yapo mengi makosa aliyofanya na kusababisha achukiwe, kama kweli anachukiwa.
Kama wewe umeteuliwa kwenye nafasi ya kuwakandamiza hao watu wanaomchukia, basi elewa, na wewe umechangia kuchukiwa huko.
Na hapo mwisho unaandika "MAGUFULI FOR LIFE"? THAT CAN ONLY BE A FIGMENT OF YOUR IMAGINATION!
Wewe ni mtupu kweli kichwani.
MAGUFULI4LIFE.