Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

Wanaacha kwenda kumuombea mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa jaribio la kuuwawa la kupigwa risasi 16, wanaenda kumuombea muuaji, mbaguzi, fedhuli na katili . Kweli siku hizi dini ni wewe na Mungu wako tu. Watumishi wote ni wezi tu!!
Mungu siyo Amsterdam
 
Kwa hiyo ameona anunue Ndege aje kuzipaki ajenge Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kuanikia nafaka

Kuwasifia Wanawake Weupe na kuwakashifu Weusi hayo ni Mauno sio Maono

Masista hawana budi ni kumwaga Pombe
Sasa wewe kama ni mwanamke mweusi si upake mkorogo?

Mbona wenzio wanapaka?
 
Ndio maana wengine tumepumzika kwenda makanisani.. Hao Masista wanajua Mke wa Azory Gwanda au baba na Mtoto Wa Ben Saanane wana hali gani?

Mungu atawapimia kwa kiwango kinachostahiki!
Awajui,pia kwamba huyo wanaemuombea ndie chanzo cha kupungua kwa sadaka makanisani,wao sababu ni kula kulala hata awajui waumini wanavyotaabika kupata hata muhogo.
Waumini tukigoma kutoa sadaka makanisani na misikitini viongozi wa dini watakuwa na akili
 
Nkurunziza alikuwa anaimba na kwaya kabisa na kuhubiri kanisani Kama mlokole lakini akitoka hapo anakwenda kuvunja amri kumi za Mungu ya usiue, mpende jirani yako.
 
Ndio maana wengine tumepumzika kwenda makanisani.. Hao Masista wanajua Mke wa Azory Gwanda au baba na Mtoto Wa Ben Saanane wana hali gani?

Mungu atawapimia kwa kiwango kinachostahiki!
labda wanamuombea aache ukatili na asikilize kilio chako
 
Wanaacha kwenda kumuombea mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa jaribio la kuuwawa la kupigwa risasi 16, wanaenda kumuombea muuaji, mbaguzi, fedhuli na katili . Kweli siku hizi dini ni wewe na Mungu wako tu. Watumishi wote ni wezi tu!!
Ngoja sadaka zikate kama hawajaanza kujiuza.
 
Wanaacha kwenda kumuombea mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa jaribio la kuuwawa la kupigwa risasi 16, wanaenda kumuombea muuaji, mbaguzi, fedhuli na katili . Kweli siku hizi dini ni wewe na Mungu wako tu. Watumishi wote ni wezi tu!!
Kwa ujumla watumishi wa kanisa katoliki TZ wamepigwa ganzi na Magufuli. Nimeongea na baadhi yao, hawaonyeshi kuguswa na dhulmati ya Magufuli.
Wanamuona kama Mr Perfect president. It is strange and sad indeed. It could make sense labda kwa vile ndani ya kanisa, hakuna haki; ni amri na utii tu, kama anavyofanya uncle Magu.
 
Incumbent John Magufuli is widely expected to win re-election despite the recent return to Tanzania of main opposition challenger Tundu Lissu, who took exile in Belgium after suffering 16 bullet wounds when he was shot by unknown assailants in 2017.

You just need to be a bit careful, distinguish between opinions, expectations and reality.
 
Back
Top Bottom