Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Unawajua wewe hao kwa undani?Waombee Wewe, Rais Magufuli anaombewa na watu wa Mungu ila sio mlevi kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawajua wewe hao kwa undani?Waombee Wewe, Rais Magufuli anaombewa na watu wa Mungu ila sio mlevi kama wewe
Mungu siyo AmsterdamWanaacha kwenda kumuombea mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa jaribio la kuuwawa la kupigwa risasi 16, wanaenda kumuombea muuaji, mbaguzi, fedhuli na katili . Kweli siku hizi dini ni wewe na Mungu wako tu. Watumishi wote ni wezi tu!!
Sasa wewe kama ni mwanamke mweusi si upake mkorogo?Kwa hiyo ameona anunue Ndege aje kuzipaki ajenge Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kuanikia nafaka
Kuwasifia Wanawake Weupe na kuwakashifu Weusi hayo ni Mauno sio Maono
Masista hawana budi ni kumwaga Pombe
Unawajua wewe hao kwa undani?
Mbona chama kinamfia sasaMagufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Mbona chama kinamfia sasa
Awajui,pia kwamba huyo wanaemuombea ndie chanzo cha kupungua kwa sadaka makanisani,wao sababu ni kula kulala hata awajui waumini wanavyotaabika kupata hata muhogo.Ndio maana wengine tumepumzika kwenda makanisani.. Hao Masista wanajua Mke wa Azory Gwanda au baba na Mtoto Wa Ben Saanane wana hali gani?
Mungu atawapimia kwa kiwango kinachostahiki!
Labda ashinde wingi wa mabango na sio mioyoni mwa watzRais Magufuli atashinda kwa 98,huyo msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji atajuta huu mwaka
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hawa masister ndiyo maana kanisa liliamua wasiolewe maana akili zao ni kama za Makonda
mungu wao sio Mungu wetu,Mungu wetu ni wa hakiWaombee Wewe, Rais Magufuli anaombewa na watu wa Mungu ila sio mlevi kama wewe
labda wanamuombea aache ukatili na asikilize kilio chakoNdio maana wengine tumepumzika kwenda makanisani.. Hao Masista wanajua Mke wa Azory Gwanda au baba na Mtoto Wa Ben Saanane wana hali gani?
Mungu atawapimia kwa kiwango kinachostahiki!
Ngoja sadaka zikate kama hawajaanza kujiuza.Wanaacha kwenda kumuombea mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa jaribio la kuuwawa la kupigwa risasi 16, wanaenda kumuombea muuaji, mbaguzi, fedhuli na katili . Kweli siku hizi dini ni wewe na Mungu wako tu. Watumishi wote ni wezi tu!!
Hahahaha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Da wanatafuta laana tenaLaana zingine uzitafutia mwenyewe halafu unalaumu wachawi
Labda maono ya kupiga chaboMagufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Ndio,Mbinguni kwa BABA.We unaishi Mbinguni sio?
Ya wakristo sio watanzania, utawala wake waislam wanaofaidika nao ni alhad musa na genge lakeMagufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Kwa ujumla watumishi wa kanisa katoliki TZ wamepigwa ganzi na Magufuli. Nimeongea na baadhi yao, hawaonyeshi kuguswa na dhulmati ya Magufuli.Wanaacha kwenda kumuombea mtu aliyesababishiwa ulemavu kwa jaribio la kuuwawa la kupigwa risasi 16, wanaenda kumuombea muuaji, mbaguzi, fedhuli na katili . Kweli siku hizi dini ni wewe na Mungu wako tu. Watumishi wote ni wezi tu!!
Incumbent John Magufuli is widely expected to win re-election despite the recent return to Tanzania of main opposition challenger Tundu Lissu, who took exile in Belgium after suffering 16 bullet wounds when he was shot by unknown assailants in 2017.