Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Yaani unafanya mambo ki selfish afu bado unatetea,unatuchosha Magufuli...Chato ingekua sio kwa mambo kede kede yanayoelekezwa huko Chato wala tusingepiga kelele, wewe uwanja wa michezo,hospitali,kila kitu Chato,watanzania tunataka equal share of resources!..watanzania hawapatikani Chato pekee..umetukosea watanzania kwa miaka mitano,its time to step down.
 
Hoja zile zile za kukaririshana. Anunue ndege kwa mkopo halafu tulipe pesa nyingi kwenye riba.

Baada ya yeye kumaliza urais uwanja unatumiwa na watu wa Geita. Uwanja wa KIA upo Hai kwa Mbowe na hakuna anayeuhusisha na siasa za vyama kwani upo ulikuwepo na utakuwepo.

Tukumbuke kuwa uwanja wa Mwanza umepanuliwa na unakuwa ni hub ya Tanzania na unapokuwa na hub ni lazima uwe na strategic aerodrome yaani uwanja wa akiba ambao haupo mbali nao. Mfano uwanja wa Dar unayo akiba ya Zanzibar uwanja wa KIA unayo akiba ya uwanja wa Arusha.

Sekta ya anga inatazamwa kisiasa badala ya kuangaliwa kama ni fursa kubwa huko tuendako.

Hoja nyingi ni za kisiasa zisizo na maono ya mbali.

Kaka hapa ni kama unafua shati jeupe na maziwa ili liwe jeupe zaidi!
 
Umewahi sikia wapi kaburu Botha, Ian smith, au leopard kajenga uwanja kwao, au kajenga kasri kwao kwa kuiba fedha za umma, au kaficha pesa ulaya, au kujenga mahekalu ulaya, why viongozi vya kiafrica tu chek mobutu, Mugabe,Jameih,bashir, zuma, abacha, wanaibia wanyonge wanazificha ulaya, wamejenga mahekalu ulaya. PUTIN: AFRIKA HAITOKAA IWE HURU

"Afrika haitokaa iwe HURU. Waafrika wanawaamini Wazungu, Wamarekani na Wachina zaidi kuliko wanavyojiamini wao wenyewe....hawajiamini wao wenyewe hata kidogo.

Mzungu au mtu mweupe anafanya makosa Afrika tena makosa ya jinai ila hakuna hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake kwa sababu mamlaka za Afrika zinatutazama sisi weupe kama miungu, jambo ambalo liko mbali sana na ukweli.

Mtu mweusi (Mwafrika) anaweza kuteswa, kunyanyaswa na hata kuuawa kinyama Ulaya lakini hakuna mamlaka yoyote ya Afrika inayoweza kuuliza wala kuhoji.

Waafrika wamejikubali na kuamini kuwa wao ni watu DHAIFU wasio na tumaini haswa linapokuja suala la kupambana na Wazungu, Wamarekani na Wachina. Mzungu, Mmarekani au Mchina anaweza kumdhalilisha, kumtukana, kumpiga na hata kumuua Mwafrika katika ardhi ya Afrika tena kwenye nchi yake au nje ya Afrika na Viongozi wa Afrika wataliona hilo na kila mmoja atajiweka kana kwamba hakuona wala kusikia.

Adui wa Mwafrika ni Mwafrika. Mwafrika mpe silaha, pesa au ahadi ya madaraka madogo tu kwa sharti moja tu la kumuua Mwafrika mwenzake, atamuua kinyama kuliko ulivyotarajia. Adui wa Mwafrika sio mzungu, sio Mmarekani wala sio mchina. Adui wa Mwafrika ni AKILI na fikra zake na ndio maana leo Wazungu, Wamarekani, Waarabu na Wachina wameitawala tena Afrika kwa kutumia dini, Elimu, uchumi, teknolojia, siasa na utamaduni.

Waafrika ni watu wanaochukiana na wasioaminiana na ndio maana Afrika haiwezi kuungana na haitokaa iungane kuwa na dola imara. Chuki ya wenyewe kwa wenyewe na utengano ndio inayowapa wakoloni wao nguvu ya kuendelea kunyonya rasilimali za Afrika."

Je unakubaliana na Rais Vladmir Putin?
Je ni kipi unaweza kuongeza kuhusu Afrika?
 
Hujui kusoma kamanda,ilikuwa imecompile 2016-2019. Ila ni uthibitisho Atcl inakaguliwa. Mnaiabisha Chadema kwa ushabiki wa kijinga.
Hahah katika aina ya Reporting nitajie ni report ipi inayoweza ku-compile report ya miaka 3 kwa pamoja (2016-2017,2017-2018,2018-2019).

Nasuburi majibu kamanda uchwara.
 
Why do you generalize that we do not need a national carrier? I think we need it. What is supposed to be done is to cut down losses, and make people accountable.

Kwenye uzalishaji wa mazao na uongezaji thamani, Sokoine's ideas, if they were upheld, we would be leading in the area in the region. By now we would be so advanced on terms of technology and appropriate capabilities.
Ina maana baada ya hii mess up ya privatisation, tunahitaji muda tena wa kuweka kurudi kwenye mstari

..I am not generalizing that we do not need a national carrier.

..We managed to increase the number of tourists visiting our country without having a national carrier.

..You said we need it for national pride, I suggested we better thrive in seeking national pride from crops, goods, arts, etc which are produced within our country, by our own ppl.

..There is no pride in owning 15 or 30 airplanes while there are countries that are buying 150 planes at a go. And can atcl really compete in a market that is so saturated and dominated by big players such as Emirates, Qatar, Turkey, etc ?
 
Yaani unafanya mambo ki selfish afu bado unatetea,unatuchosha Magufuli...Chato ingekua sio kwa mambo kede kede yanayoelekezwa huko Chato wala tusingepiga kelele, wewe uwanja wa michezo,hospitali,kila kitu Chato,watanzania tunataka equal share of resources!..watanzania hawapatikani Chato pekee..umetukosea watanzania kwa miaka mitano,its time to step down.
Una wajengea choo cha kuflash wkati cha shimo tu wameshindwa kukitumia haya
 
1.Uwanja wa ndege
2.Bandari
3.Hospitali ya rufaa ya kuhudumia Kanda

Jamani kunani chato?Hivi Magufuli angekuwa anatokea Shinyanga,hivyo vyote vingeenda Chato?Ni kwamba ni coincedence tu kuwa mipango ya maendeleo mikubwa kama hiyo inaangukia Chato na yeye kuwa Rais ambaye kwao ni Chato?
Niambie tu toka moyoni kwako,hii ni coincedence?
Chato ni sehemu ya Uganda au ni Burundi?.
 
Hoja kwamba uwanja umejengwa bila kufuata sheria ya manunuzi ina usiasa gani?
Hoja kwamba MAGUFULI alimuita mtengeneza ndege wakakaa chumbani huku amekalia sheria ya manunuzi makalion ina usiasa gani? Sheria zimewekwa ili kudhibiti matendo ya binadam wenye hulka kama MAGUFULI.kwann mnaamini kwamba huwezi kuchukua 10% ya hiyo midubwasha/ mindege?
Kama uwanja umejengwa kimkakati kwann usijengwe Bukoba au mara ambayo ni karibu na mwanza?
Ameshindwa kujibu hoja anawatuma mje mbwabwaje tu hapa unadhani mpo kariakoo sokoni.jibu hoja acha kuweka miswada
Hoja ni kwanini chato? Kwanini sheria ya manunuzi ya umma haijafuatwa?
Umeandika hisia tupu ambazo ukiombwa uweke ushahidi mezani huwezi kufanya hivyo.
 
Duuu unasikitisha sana kufikiri kuwa mpaka wewe upande hizo ndege ndiyo itakuwa sawa kujenga uwanja wa Chato! Uwanja huu na ndege zilizonunuliwa zinakuja kukuza biashara ya utalii na madini katika kanda hii. Watalii wengi watapenda kuja kuona Hifadhi mpya k.m. Chato Burigi, n.k. Wameshaona Serengeti, Manyara, n.k. Huu ni mkakati wa kukuza pato la Taifa. Halafu mimi nawashangaa sana hivi Wana-Chato ni dhambi uchumi wao kuongezeka? Vilevile ukiona Chato kuzuri nenda tuu ukaanzishe bishara zako huko, ruksa.
Chato kuna uzuri gani pa ovyo tu ile sio mbuga ni zoo uwanja angejenga geita basi
 
Hoja kwamba uwanja umejengwa bila kufuata sheria ya manunuzi ina usiasa gani?
Hoja kwamba MAGUFULI alimuita mtengeneza ndege wakakaa chumbani huku amekalia sheria ya manunuzi makalion ina usiasa gani? Sheria zimewekwa ili kudhibiti matendo ya binadam wenye hulka kama MAGUFULI.kwann mnaamini kwamba huwezi kuchukua 10% ya hiyo midubwasha/ mindege?
Kama uwanja umejengwa kimkakati kwann usijengwe Bukoba au mara ambayo ni karibu na mwanza?
Ameshindwa kujibu hoja anawatuma mje mbwabwaje tu hapa unadhani mpo kariakoo sokoni.jibu hoja acha kuweka miswada
Hoja ni kwanini chato? Kwanini sheria ya manunuzi ya umma haijafuatwa?

Nchi nzima vinajengwa viwanja vya ndege. Mnaumia sana mkiona maendeleo yanasambazwa nchi nzima!!.

Mlishazoea kuona kwenu tu ndio kunapewa kipaumbele miaka yote na kwingine kukawa hakutiliwi maana ni!!.

Tulieni dawa ya Magufuli iwaingie maendeleo yatafika nchi nzima nyinyi mliozoea upigaji itabidi tu mkubaliane na yanayoendelea.
 
Andika kiswahili kinachoeleweka, Lissu hana hadhi ya kufanya mdahalo na Rais wa nchi, anaweza akagombea naye na kupiga makelele majukwaani kama chizi mwisho wa siku atabaki kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Hata uenyekiti wa CHADEMA Lissu hawezi pewa.
Na mlivyomatahaahira mkapiga chizi risasi.yaani wewe ndiyo ile miafrika mijinga iliyonangwa na Putin. Ipe pesa kidogo ipe risasi iambie uwa wafrika wezako na unauwa. Bure kabisa wewe
 
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Swali zuri sana. Huu uwanja utakuwa hauna kazi tena, tutaubadilisha utakuwa wa kuchezea mpira. Kawaida mtu aliyejenga uwanja wa ndege, akishamaliza muda wake wa urais, viwanja vya ndege vyote alivyojenga huwa vinabadilishwa na kuwa viwanja vya mpira!
 
Back
Top Bottom