Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Hujie Hujielewi we we ata kidogooo. Mwl. Nyerere aliponunua ndege kipindi hicho watanzania walikuwa wanauwezo wa kupanda wotee??
 
Ajibu swali. Hiyo ndege ya Chato huwa inambeba Nani!? Zaidi ya Magufuli, M7 na Uhuru, hatujaona ndege nyingine ikitelemsha abiria Charo International Airport.
Mimi nasubiri akienda Geita kama Lissu atauliza swali hilo!
 
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Magu tayari anamaadui wengi, na hajui biashara.
Kwahiyo anajijenga kiuchumi hivo kwa mabilioni ya watanzania, kwa kujenga vitu na kujipa madaraka navyo binafsi.
 
Hoja si kujenga uwanja bali faidi ya huo uwanja maana ata Mabotu alifanya aya aya.
KWAHYO HUO UWANJA HAKUNA MTANZANIA WALA NDEGE YOYOTE ITAKAYO RUKA HAPO?
INAMAANA HAKUNA WAFANYABIASHARA WENYE UWEZO AU WAGONJWA WENYE UHITAJI WA HARAKA KWA KUTUMIA UWANJA HUO??

SHIIIDA KWELI KWELIII.
 
Mtafute Mkurugenzi wa atcl atakupa figures.

Sekta ya anga inachagiza ukuaji wa sekta nyingine, yenyewe unaweza usiione faida yake leo au kesho lakini fuatilia zile sekta nyingine zinazozaliwa na kukua kupitia sekta ya anga utagundua ni nyingi.

Hakuna taasisi ya umma isiyopika data sasa hivi ili kuhadaa umma. The same applies to TTCL CEO. Hebu nitaje sekta ambayo ina ukuaji wa dhahiri uliotokana na hizo ndege.
 
Kwa
Swali ni kuna faida ipi kujenga uwanja Chato? Atuambie baada ya kuwekeza karibu Bil 40, umeingiza faida zipi kwa taifa?
Kwani umehapata mapato na matumizi ya uwanja huo mpaka uulizie faida na hasaraa??

Au unatakwimu za mapato na matumizi ya viwanja vya ndegee Tanzania nzimaa??

Au mumechanganyikiwa wajameniii
 
HUNA HISTORIA YA
Hoja si kujenga uwanja bali faidi ya huo uwanja maana ata Mabotu alifanya aya aya.
HUNAHISTORIA YA RAIS MOBUTU WEWE KAA KIMYAAAA.
MOBUTU ALITUMIA FEDHA YA UMA KWAKUJENGA MIRADI NA MALI ZAKE BINAFSI.
JEE UMESIKIA UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULI??

UPINZANI MUMEVURUGWAA
 
JWA
Magu tayari anamaadui wengi, na hajui biashara.
Kwahiyo anajijenga kiuchumi hivo kwa mabilioni ya watanzania, kwa kujenga vitu na kujipa madaraka navyo binafsi.
[/QUOTE
KWANI HUU UWANJA NI MALI YA MAGUFULI??

JIBUNI HILO SWALII
 
Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege
Hawa wenyewe wanaomkosoa leo ilikuwa ni ajenda yao, hawakuwahi kuwaza ka.a itawezekana kutekelezwa. Sasa kimekuja chuma na kutekeleza sera hiyo imeisha imekuwa lawama tena
 
HUNA HISTORIA YA
HUNAHISTORIA YA RAIS MOBUTU WEWE KAA KIMYAAAA.
MOBUTU ALITUMIA FEDHA YA UMA KWAKUJENGA MIRADI NA MALI ZAKE BINAFSI.
JEE UMESIKIA UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULI??

UPINZANI MUMEVURUGWAA
Tena umevurugwa haswaaaa, umesikia huyu nae leo anavyopotosha eti uwanja wa ndege wa Mpanda ni malisho ya mbuzi
 

Attachments

  • VID-20200914-WA0010.mp4
    12.8 MB

I think we could strengthen domestic routes and airports. We could also work to open transportation with our neighbouring countries for tourism and other business ventures.
But letting private companies own the sky is a suicide mission.
 
Huyu Lisu tunamsubiri ataenda kuombaje kura Chato na mkoa wa Geita kwa ujumla
Kwani hizo sehemu nyingine anakwendaje? Na kuna kura kibao atapata wewe unafikiri watu wote wa kanda hiyo hawajitambui kama wewe?
 
Mdahalo wagombea wasachiwe wasiingie na silaha.

Kisha wawekewe uzio wasiweze kukutana kwa namna yeyote ile.
 
Mona Mobutu ameacha vyote vinaozs kijijini kwao.

Uwanja wa Ndege wa Chato ni Moja ya Daliliza kutaka kwa kuvunja Ukomo wa Rais. Yaani kutawala Milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…