Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Hujie
Hujielewi we we ata kidogooo. Mwl. Nyerere aliponunua ndege kipindi hicho watanzania walikuwa wanauwezo wa kupanda wotee??Vyote vimejengwa huko kwa sababu la uhitaji wa huko.Je Wana Chato ambao wanaomudu kupanda ndege hata watano awafiki je uwanja Ni muhimu kuliko schemes za umwagiliaji,vyuo vya ufundi na maendeleo, maghala ya mazao, viwanda vya mifugo,uvuvi na mazao ya kilimo?
Thus akupitisha bungeni kuogopa kupingwa,