Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Kasome Mithali hasira hulala kifuani mwa mpumbavuHuyu jamaa anahasira sana, sipati picha alivokuwa mwalimu, wanafunzi walipata shida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome Mithali hasira hulala kifuani mwa mpumbavuHuyu jamaa anahasira sana, sipati picha alivokuwa mwalimu, wanafunzi walipata shida sana.
Bora umenijibu kistaarabu pamoja na msimamo wako, Ila hii issue ya ndege Mimi itachukua muda mrefu kuniingia.Sio hivyo,,kipindi cha jk wapinzani walimlaumu sana kwa kufa kwa shirika la ndege,,jpm akaona hili tatizo aliondoe,ndiposa akaamua kulifufua shirika la ndege
Hivi ni ujinga au mazoea mabaya kusema ndege hazina wapandaji,tatizo hamna akili kama taifa tunaitaji ndege na viwanja kila wilaya ili use usafiri wa kawaida tu kwa wananchi MTU achague mwenyewe ahende kwa ndege,gari,meli au treni hayo maujinga ya kuamini kuwa ndege ni anasa ukome huko huko kwa uyo alirudi kutoka Belgium kwa pikipiki.Jamaa anapenda ndege! Hebu afanye utafiti ni watanzania wangapi Wana uwezo WA kupanda ndege ,anakera.
Msimamo wangu hakuna anaeujua maana ni siri,,jpm alijitahidi kutaka kuridhisha watu,,mnakumbuka hata IGP siro,wanajf walipendekeza tangu kipindi cha mwema?,Bora umenijibu kistaarabu pamoja na msimamo wako, Ila hii issue ya ndege Mimi itachukua muda mrefu kuniingia.
Nakutafadhalisha usinikoti halafu ukanitukana.Hivi ni ujinga au mazoea mabaya kusema ndege hazina wapandaji,tatizo hamna akili kama taifa tunaitaji ndege na viwanja kila wilaya ili use usafiri wa kawaida tu kwa wananchi MTU achague mwenyewe ahende kwa ndege,gari,meli au treni hayo maujinga ya kuamini kuwa ndege ni anasa ukome huko huko kwa uyo alirudi kutoka Belgium kwa pikipiki.
We umepanda ndege lini,nauli ya basi tu kwenda kwenu kijijini inakushinda,biashara ya ndege awaachie mashirika binafsi ,serikali ijenge viwanja tuHivi ni ujinga au mazoea mabaya kusema ndege hazina wapandaji,tatizo hamna akili kama taifa tunaitaji ndege na viwanja kila wilaya ili use usafiri wa kawaida tu kwa wananchi MTU achague mwenyewe ahende kwa ndege,gari,meli au treni hayo maujinga ya kuamini kuwa ndege ni anasa ukome huko huko kwa uyo alirudi kutoka Belgium kwa pikipiki.
Corona imekuwa scapegoat sasa, na imekuja wakati muafaka kwani tutaibebesha lawama kushindwa kwa ATCL hata kama ingeshindwa bila coronaHoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Ha ha ha haa!
Anatakiwa kujibu hoja :
- Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
- Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
- Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
- Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
- Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
- Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
- Mbona anakuwa anatoa majibu kiukali kwani kuna nini vile?
- Asititufokee, lazima ajue sisi ndiyo tunamlipa mshahara na kiinua mgongo mara akistaafu.
Kwani tusingekuwa na ATCL tungekosa huduma ya ndege? wakati mwingine si lazima umiliki chombo chausafiri ili uweze kutumia huduma zakeATCL ina madeni mengi sana. Kama ndege zingeinyizwa huko lazima zingechukuliwa na wadai. Airline nyingi zina hasara. Ina maana sababu ya hasara ndio hatuhitaji ndege?
Babu yake kazikwa kalebezo mbele kidogo ya nyehungeHivi kuna mtu anajua babu yake huyu jamaa yupo wapi au kama bahati mbaya alifariki alizikwa wapi??
namaanisha kizazi chake cha 3-4 tuverifai uraia wake
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Baba au BABU??Babu yake kazikwa kalebezo mbele kidogo ya nyehunge