Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Pale mtetezi wa wanyonge anapowaletea umasikini wanyonge uleta shaka juu ya uzalendo wake. Mtetezi wa wanyonge katu hawezi Kuwasomesha namba wanyonge ili wawe masikini ili wamuabuduhttps://youtu.be/N7QJEFijpb4
 
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Watu wanataka kujua kama kuna faida itapatikana kutokea Chato. Je watu wangapi wanapanda hizo ndege kwenda na kurudi Chato? Chato kuna nini kiasi cha kuhitaji ndege? Je hakuna mikoa ya karibu na Chato yenye airport wakashirikiana? Ninachojua Chato imesikika zaidi baada ya mzee kuwa prezdaa nje ya hapo ni wakulima na wafugaji tu wamejazana kule ambao kihalisia hawana uwezo wa kupanda ✈️ndege. Bora ingejengwa huko 🚆 train!
 
I think we could strengthen domestic routes and airports. We could also work to open transportation with our neighbouring countries for tourism and other business ventures.
But letting private companies own the sky is a suicide mission.

..I agree with most of the points that you have raised.

..but i strongly oppose our government involving itself in airline business, because chances of making profits are very slim and that will being a burden to the taxpayers.
 
KWAHYO HUO UWANJA HAKUNA MTANZANIA WALA NDEGE YOYOTE ITAKAYO RUKA HAPO?
INAMAANA HAKUNA WAFANYABIASHARA WENYE UWEZO AU WAGONJWA WENYE UHITAJI WA HARAKA KWA KUTUMIA UWANJA HUO??

SHIIIDA KWELI KWELIII.

Nyerere,Mwinyi, Mkapa na JK wote walikuwa marais wa nchi hii, mbona huko makwao hamna viwanja vya ndege, au Magufuli ndio anatokea kwenye watanzania sana?
 
Mimi nasubiri akienda Geita kama Lissu atauliza swali hilo!
muwe mnafanya tafiti,sasa hata hao wana Chato wenyewe hilo ni hitaji lao? Ili wafanyie nini hasa. Ingekuwa maji barabara hapo sawa. Geita ndiyo kabisaa,wakiambiwa huo uwanja walistahili wajengewe wao itaeleweka
 
Hakuna taasisi ya umma isiyopika data sasa hivi ili kuhadaa umma. The same applies to TTCL CEO. Hebu nitaje sekta ambayo ina ukuaji wa dhahiri uliotokana na hizo ndege.
Mkuu zipo sekta nyingi tu. Kama unaamini katika kupika data hata ukipewa data utaona unadanganywa.
 
ku
Watu wanataka kujua kama kuna faida itapatikana kutokea Chato. Je watu wangapi wanapanda hizo ndege kwenda na kurudi Chato? Chato kuna nini kiasi cha kuhitaji ndege? Je hakuna mikoa ya karibu na Chato yenye airport wakashirikiana? Ninachojua Chato imesikika zaidi baada ya mzee kuwa prezdaa nje ya hapo ni wakulima na wafugaji tu wamejazana kule ambao kihalisia hawana uwezo wa kupanda ✈️ndege. Bora ingejengwa huko 🚆 train!
Kwani mbona umeshadadia kujua faida ya uwanja wa chato, mbona viwanja vya ndege vinajengwa karibia kila mkoa na wilaya zake, jeeee unatakwimu za mapato na matumizi ya hivyo viwanja ukaona vinaendeshwa kwa faida mpaka uone uwanja wa chato unaendeshwa kwa hasara??

Hivi nyinyi ni wapinzaniii, au ni wabishi tuuu??
 
Mara 100 kuliko nyie,ajira zilikuwapo,huduma Bora za afya na elimu
AHAAAAAA, KUMBE SHIDA YAKO NI AJIRAA??

SASA MBONA UNAZUNGUUUKA SAANA.

LETA MAADA YA AJIRA TUJADILI.
NITAKUELEWESHA MIMI HAPA, NDO KIONGOZI MKUU 2020.

SAWA DADA ANGUUU??
 
AHAAAAAA, KUMBE SHIDA YAKO NI AJIRAA??

SASA MBONA UNAZUNGUUUKA SAANA.

LETA MAADA YA AJIRA TUJADILI.
NITAKUELEWESHA MIMI HAPA, NDO KIONGOZI MKUU 2020.

SAWA DADA ANGUUU??
Shibe ndo kila kitu,mliwasomesha namba watz zamu yenu kuisoma October
 
Nyerere,Mwinyi, Mkapa na JK wote walikuwa marais wa nchi hii, mbona huko makwao hamna viwanja vya ndege, au Magufuli ndio anatokea kwenye watanzania sana?
HUJASIKIA DARAJA LINALOITWA DARAJA LA MKAPA???

Huuuu upinzani wa awamuuu shidakweli kweliiii.
 
Mwenye macho haambiwi ona. Mambo mengine sio yakubishana
Muda utaongea, loud and clear
 
AHAAAAAA, KUMBE SHIDA YAKO NI AJIRAA??

SASA MBONA UNAZUNGUUUKA SAANA.

LETA MAADA YA AJIRA TUJADILI.
NITAKUELEWESHA MIMI HAPA, NDO KIONGOZI MKUU 2020.

SAWA DADA ANGUUU??
Mjerumani amekaa miaka michache kuliko aliyokaa ccm na amefanya makubwa Sana nchi hii
 
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? ,ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11..hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli


Hoja za Wadau,wapiga kura hawajaridhika
expand...

1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka mwanza airport mpaka chato?
5. Baada ya yeye kumaliza uraisi huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Hakuna lolote..!! Sijaona kapanguaje hoja hiyo..!
 
Back
Top Bottom