Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
Kwahiyo uwanja mkubwa kama ule uliyo haribu ma bilioni ya walipa kodi wakiwemo mama ntilie wamachinga nk unatua ndege mojatu kwa mwaka tena crismas na pasaka kwahiyo nihasara tu ujue hakuna kinachoingia na kafanya kila anaekuja kuwa rais ajenge uwanja wa ndege kwao

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni ujinga au mazoea mabaya kusema ndege hazina wapandaji,tatizo hamna akili kama taifa tunaitaji ndege na viwanja kila wilaya ili use usafiri wa kawaida tu kwa wananchi MTU achague mwenyewe ahende kwa ndege,gari,meli au treni hayo maujinga ya kuamini kuwa ndege ni anasa ukome huko huko kwa uyo alirudi kutoka Belgium kwa pikipiki.
Kwahiyo unataka kuniambia kama chato ni wilaya kama wilaya nyengine na kwanini uwanja wa chato ukajengwa kwenye kijiji chenye watu 50 na kwanini inatua ndege moja tu kwa mwaka mzima

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hizo hela zimetumika kujenga uwanja ambao ni mali yake?
Kwani chato hapafai kujenga uwanja??

Kwa nini huuu uwanja umewauma??
Shida iko wapiiii??
Fedha zilizotumika kujenga huo uwanja kijijini kwake Ni fedha za umma.
Uwanja umejengwa bila kufanyika upembuzi yakinifu wa mradi kujua faida yake .
Uwanja umejengwa kijijini kwake kwa utashi wake binafsi wa kiupendeleo
Chato kwa uchumi wa Sasa hapana hadhi ya kujenga uwanja kama ulioje gwa heri hata ungejengwa makao makuu ya mkoa Geita mjini
Uwanja huuu Ni kielelezo cha matumizi mabaya ya madaraka na fedha za umma kama alivyofanya dictator Mobutu wa Zaire
 
Akili yako ni ndogo saaana, hivi mwalimu nyerere alinunua ndege, na kujenga miundo mbinu akitaka faida ya hapohapo??

Kumbe we we shida yako ulitaka mradi wa kuanzisha Leo kesho uwebilionea??

Umejifunza wapi we we biashara ya hivyo??

Kwahyo kwa akili yako huna atavission ya maendeleo ata kidogooo.
Mwalimu Nyerere hakujenga uwanja wa ndege butiama
Acha kumfananisha Baba wa Taifa na huyu
 
Fedha zilizotumika kujenga huo uwanja kijijini kwake Ni fedha za umma.
Uwanja umejengwa bila kufanyika upembuzi yakinifu wa mradi kujua faida yake .
Uwanja umejengwa kijijini kwake kwa utashi wake binafsi wa kiupendeleo
Chato kwa uchumi wa Sasa hapana hadhi ya kujenga uwanja kama ulioje gwa heri hata ungejengwa makao makuu ya mkoa Geita mjini
Uwanja huuu Ni kielelezo cha matumizi mabaya ya madaraka na fedha za umma kama alivyofanya dictator Mobutu wa Zaire
NITAJIE MTU ANAYEMILIKI KIJIJI CHAKE TANZANIA.

CHADEMA KUBARINI MNATIA AIBUU.
 
Kwahiyo unataka kuniambia kama chato ni wilaya kama wilaya nyengine na kwanini uwanja wa chato ukajengwa kwenye kijiji chenye watu 50 na kwanini inatua ndege moja tu kwa mwaka mzima

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Naona hujui sheria za vijiji,ili kijiji kianzishwe kinatakiwa kiwe na idadi ya kaya zisizopungua 300,sasa sheria ya mipango miji ya jamuhuri ya muungano ya Tanzania inataka kila almashuri inapoanzishwa lazima kuwe na maeneo yanayoyengwa kwa ajili ya huduma za kijamii na kiserikali,:shule,michezo,afya,kiwanja cha ndege,mapumziko,Barbara,biashara nk,hivyo ni suala la kisheria kwenye sheria ya mipango miji, kuhusu kujengwa pembezoni ni suala la kiusalama wa viwanja vya ndege lazima vikae mbali na mji.vipi kuna swali jingine.
 
Mwalimu Nyerere hakujenga uwanja wa ndege butiama
Acha kumfananisha Baba wa Taifa na huyu mpumbavu
Kwahyo ambavyo hakuvifanya nyerere hatakiwi mwingine kuvifanya??

Kwani chato sio ya watanzania wotee?

Kama unataka kuishi jirani na huo uwanja kwani kuna mtu kakuzuia??
 
Kwahiyo umekubali kila raisi amefanya kitu cha kijamiiiii eneo anapotoka.
Kwanini alijenga hilo daraja kule kwao na wakati kwa bibi yako mpaka leomnavuka mto kwa kuogelea???
Daraja la Mkapa halipo Masasi lipo rufiji na hata sio mkoa wa Mtwara nyumbani kwa marehemu
Daraja Hilo linatumika vizuri na limerahisisha usafiri wa kwenda kusini wengi tunajua shida iliyokuwepo hapo darajani kwa watu hadi kuliwa na mamba.
Huwezi kulinganisha ujenzi wa daraja la Mkapa na upuuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato
 
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Sasa ndio umuulize Jiwe kwanini amekataza lisikaguliwe,kama ulikuwa hujui ATCL halikaguliwi na CAG kwa amri ya mkuu
 
Daraja la Mkapa halipo Masasi lipo rufiji na hata sio mkoa wa Mtwara nyumbani kwa marehemu
Daraja Hilo linatumika vizuri na limerahisisha usafiri wa kwenda kusini wengi tunajua shida iliyokuwepo hapo darajani kwa watu hadi kuliwa na mamba.
Huwezi kulinganisha ujenzi wa daraja la Mkapa na upuuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato
Kwanini hakulijenga kigoma?
 
Acha propaganda, Chato sio kwa watanzania wote ,kila mtanzania ana kwake chimbuko lake.
Huko Chato Ni kwa huyo kiongozi aliyelewa madaraka na kuamua kupendelea kijijini kwake kwa kutumia rasilimali za Taifa kama alivyofanya dictator Mobutu wa Zaire.
Usitulazimishe watanzania wote eti Chato Ni kwetu
Kwahyo ambavyo hakuvifanya nyerere hatakiwi mwingine kuvifanya??

Kwani chato sio ya watanzania wotee?

Kama unataka kuishi jirani na huo uwanja kwani kuna mtu kakuzuia??
 
Ameoshesha wazi wazi kuwa amepanic, kosa kubwa. Tutarajie mashambulizi makali zaidi from Lissu
 
Kwa
Kwani umehapata mapato na matumizi ya uwanja huo mpaka uulizie faida na hasaraa??

Au unatakwimu za mapato na matumizi ya viwanja vya ndegee Tanzania nzimaa??

Au mumechanganyikiwa wajameniii

Takwimu zipo na wanazo wao wenyewe.... at least tunajua viwanja vingine kuna ndege zinakwenda. Chato kuna shirika gani linakwenda huko?
 
Mwalimu Nyerere hakujenga uwanja wa ndege butiama
Acha kumfananisha Baba wa Taifa na huyu mpumbavu
Mwaka ambao unaosema nyerere hakujenga kiwanja kwao,je? nchi ilikuwa ina uchumi kiasi gani? Nchi ilikuwa na ndege ngapi,je barabara ziliunganisha mikoa mingapi,je idadi ya watu ilikuwa ngapi, kipato cha mtu mmoja mmoja kilikuwaje,hivyo husiturudishe zamani mifano haiendani ,sisi ni nchi ya uchumi wa kati,tumeonganisha mikoa yote kwa lami sasa tunamalizia wilaya kwa wilaya,umeme kila kijiji kila nyumba,hospitality kila wilaya,vitui vya afya kila kata, zahanati kila kijiji,viwanja vya ndege vya kimataifa kila kanda,vya kitaifa kila wilaya hayo ndio makusudio yetu tunataka ndege iwe si anasa na itumike kama bajaji tu.
 
Kwahi
Kwahiyo wanainchi wa chato wote kwa ujumla umewadhalau hawawezi kupanda ndege wala kuuugua wakahitaji msaada wandege??
Au umeudhalau mkoa mzima wa geita wote ni masikini hawawezi kupanda ndege hata mfanya biashara mumojaaa???

Huuuu upinzani wenu ni janga la taifaa
mashirika ya ndege ndiyo yamewadharau wanachato kwa kutopeleka ndege Chato au wanachato wenyewe wamejidharaulisha kwa kutoku book usafiri wa ndege kwenda au kutokea chato
 
Jibu hoja kwanini uwanja ulio harimu ma bilioni ya pesa za walipa kodi wakiwemo mama ntilie wamachinga na wengine unatua ndege moja tu tena kwa crismas na pasake kule kijijini chato jee akiondoka madarakani hule uwanja ninavojua mm patajengwa banda la kufugia punda

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ndege sio kama gari na ujue tu kwamba kinachotupigisha kelele sio uwanja Bali ni ushamba tu,kwani wilayani kwenu hakuna kiwanja cha ndege ,si fanyeni mpango muweke lami,maana hapa hoja ni lami tu,hakuna kingine viwanja kila wilaya wanavyo tatizo ni lami kilomita tatu, lami inawatoa roho.
 
Kwani kigezo cha kujenga uwanja wa ndege, nikusajiri kampuni ya usafirishaji Kwanzaa?
Kigezo cha uwekezaji ni mahitaji. Huwezi tu kujenga tu uwanja wa ndege bila kufanya uchambuzi wa mahitaji. Kama mahitaji ya uwanja wa ndege yapo, utumike. Ndio maana nauliza, ukiachana na ndege za kumpeleka Magufuli kupumzika kijijini kwao, na viongozi kadhaa waliokuja kumtembelea huko, ni ndege gani za abiria zimepeleka watu huko?

Kwa ufupi, ukiachana na Raisi na viongozi wengine, uwanja wa Chato umehudumia abiria wangapi mpaka sasa hivi?
 
Back
Top Bottom