evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Nilitumia mfano wa Nyerere kumjibu mwenzako aliyetaka kumfananisha Nyerere na huyu kapuku.Mwaka ambao unaosema nyerere hakujenga kiwanja kwao,je? nchi ilikuwa ina uchumi kiasi gani? Nchi ilikuwa na ndege ngapi,je barabara ziliunganisha mikoa mingapi,je idadi ya watu ilikuwa ngapi, kipato cha mtu mmoja mmoja kilikuwaje,hivyo husiturudishe zamani mifano haiendani ,sisi ni nchi ya uchumi wa kati,tumeonganisha mikoa yote kwa lami sasa tunamalizia wilaya kwa wilaya,umeme kila kijiji kila nyumba,hospitality kila wilaya,vitui vya afya kila kata, zahanati kila kijiji,viwanja vya ndege vya kimataifa kila kanda,vya kitaifa kila wilaya hayo ndio makusudio yetu tunataka ndege iwe si anasa na itumike kama bajaji tu.
Kiufupi Nyerere hakuwa na roho ya ubinafsi kama huyu mhutu