Entrepreneurial
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 201
- 134
Kwanini kisijengwe wakati itahitajika hapo baadae?Mrema alipeleka mapipa ya lami Moshi, Nani ulimsikia akilalamika miaka ile?.
Msuya akaweka umeme Mwanga miaka ile, Nani ulimsikia akilalamika?.
Tanzania tukiitazama kisiasa na kibaguzi hatutafika popote.
Kumbuka kuna watoto wanaosoma bure sasa kule Chato wakija kuwa watu wazima wenye elimu watautumia uwanja ule.
Kumbuka kuna wasomi wapo udom muda huu miaka michache ijayo wataimarish utalii wa kanda ya ziwa.
Kuna maisha baada ya sisi wa leo hii kuwa tumeshazikwa, ubinafsi hautusaidii.
Nachukia mara zingine kusema maneno kama haya... lakini kwa kweli tumepumbazwa... mpaka mantiki kimesha pinda lakini hatuwezi kuona...