Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Mrema alipeleka mapipa ya lami Moshi, Nani ulimsikia akilalamika miaka ile?.

Msuya akaweka umeme Mwanga miaka ile, Nani ulimsikia akilalamika?.

Tanzania tukiitazama kisiasa na kibaguzi hatutafika popote.

Kumbuka kuna watoto wanaosoma bure sasa kule Chato wakija kuwa watu wazima wenye elimu watautumia uwanja ule.

Kumbuka kuna wasomi wapo udom muda huu miaka michache ijayo wataimarish utalii wa kanda ya ziwa.
Kuna maisha baada ya sisi wa leo hii kuwa tumeshazikwa, ubinafsi hautusaidii.
Kwanini kisijengwe wakati itahitajika hapo baadae?

Nachukia mara zingine kusema maneno kama haya... lakini kwa kweli tumepumbazwa... mpaka mantiki kimesha pinda lakini hatuwezi kuona...
 
Sema umejengwa kijijini chato alikozaliwa Rais!Nchini hakuna sehemu nyingine unajengwa uwanja penye hadhi kama ya chato!
Mji wa kibiashara kama Kahama,hakuna uwanja!Mpaka watu washukie mwanza halafu wasafiri masaa 5 kwenda kahama!
Huko Chato kunajengwa hospitali kubwa ya rufaa ya kuhudumia kanda,kweli?
Chato Kumejengwa bandari kubwa,sijui kuna mizigo gani wanataka kupakia na kushusha!!!!
Hata mwenye akili anaona huo ni umobutu seseko!
Chato ni wilaya ambapo umejengwa uwanja huo, ambapo uwanja huuu ni kwa akili ya watanzania wanaoishi mkoani geita

Hata hivyo uwanja ni mumoja hauwezi occupy eneo lote la mkoa, hivyo lazima litafutwe eneo moja tuuu, hivyo hata kama ni kijijini, kikubwa kijiji hicho wanaishi watanzania, hamna shida yoyote.

Inavyoonekana huu uwanja ungejengwa kule kwa bibi yako wala usingekuja kubwabwaja hapaa.
 
Mrema alipeleka mapipa ya lami Moshi, Nani ulimsikia akilalamika miaka ile?.

Msuya akaweka umeme Mwanga miaka ile, Nani ulimsikia akilalamika?.

Tanzania tukiitazama kisiasa na kibaguzi hatutafika popote.

Kumbuka kuna watoto wanaosoma bure sasa kule Chato wakija kuwa watu wazima wenye elimu watautumia uwanja ule.

Kumbuka kuna wasomi wapo udom muda huu miaka michache ijayo wataimarish utalii wa kanda ya ziwa.
Kuna maisha baada ya sisi wa leo hii kuwa tumeshazikwa, ubinafsi hautusaidii.
Unafananisha uwanja wa ndege na barabara na umeme?
 
Mrema alipeleka mapipa ya lami Moshi, Nani ulimsikia akilalamika miaka ile?.

Msuya akaweka umeme Mwanga miaka ile, Nani ulimsikia akilalamika?.

Tanzania tukiitazama kisiasa na kibaguzi hatutafika popote.

Kumbuka kuna watoto wanaosoma bure sasa kule Chato wakija kuwa watu wazima wenye elimu watautumia uwanja ule.

Kumbuka kuna wasomi wapo udom muda huu miaka michache ijayo wataimarish utalii wa kanda ya ziwa.
Kuna maisha baada ya sisi wa leo hii kuwa tumeshazikwa, ubinafsi hautusaidii.
Aiseee you guys need to think kwa kweli!Hivi umesoma ulichokiandika?Najua deep down mnajua si sahihi ila kwakuwa mnaendeshwa na mihemko ya kisiasa basi mnalazimika kuandika msichokiamini!
Ninachoukiza na naomba uwe muwazi kukijibu,je,Rais angekuwa hatokei Chato,uwanja ule ungejengwa huko?Je,hospitali kubwa ya rufaa ya kuhudumia kanda ingefikiriwa kujengwa Chato?Bandari je?
Kama marais wote wangefanya kama JPM,nchi hii miaka kadhaa ijayo ingekuwa inaongoza kuwa na viwanja vya kimataifa vijijini!
 
Kwani umewapima wakazi wa geita hawawezi kusafiri kwa ndege??

RAIA wote ni sawaa.
watu wote hatuwezi kuwa sawa kifikra,kiakili ,kiutafutaji na kujituma.
Shirika la ndege la kibiashara haliwezi kurusha ndege kkipuuzi tu kupeleka Geita Kama hakuna abiria waliokata tikets waambieni wanachato wakate tiketi kwa wingi wakienda na kutokea chato uone Kama mashirika ya ndege hayatakwenda huko la sivyo wanaendelea kuona ndege za kina kenyata, mseveni na jiwe wakienda Chato kumsalimia
 
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? Ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11, hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli

Hoja za Wadau, wapiga kura hawajaridhika

1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka Mwanza airport mpaka Chato?
5. Baada ya yeye kumaliza urais, huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Sasa mbona hamna lolote alilopangua? Sioni lolote kwenye hiyo kauli yake lenye substance au justification ya kujenga uwanja Chato
 
"Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? Ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11, hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli

Hoja za Wadau, wapiga kura hawajaridhika

1. Ni faida kiasi gani ndege hizo zinaleta kwa taifa?
2. Kwanini amehamishia ndege kwenye kasma namba 20 ambayo haikaguliwi na CAG kama ambayo mashirika mengine ya umma yanakaguliwa?
3. Kwanini hataki kuweka wazi mikataba ya manunuzi ya ndege?
4. Kama anaweza kusafiri na gari nchi nzima wakati wa kampeni anashindwaje kusafiri kutoka Mwanza airport mpaka Chato?
5. Baada ya yeye kumaliza urais, huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Kwa kuwa makampuni yote duniani hayanunui ndege za abiria kwa hela taslimu ( commercial aircraft leasing agreement ) ili kuweza kumudu mtaji na gharama za uendeshaji. Je biashara hii inaweza kuhimili ushindani sokoni?
Mtu anapokosa maji ya kunywa yeye na mifugo yake ukimwambia uwanja wa ndege anakuona namna gani vipi. Hakuna mtu anayepinga ndege na meli kama upatikanaji wa maji, afya, elimu, chakula umekaa vizuri. Hii ni kwamujibu wa Abraham Maslow
 
Hizi ndizo zinaitwa akili za kimaskini. Viwanja vyote vya ndege vinakarabatiwa kwanini huo wa Chato ndio ufe baada ya rais kuondoka?.

Kwani akiondoka rais mahitaji ya viwanja vya ndege yatatoweka?.

5. Baada ya yeye kumaliza urais, huo uwanja utatumika kwa kazi gani?
Pole ndugu yangu. Habari za mihangaiko huko uliko? Nilikuwa najaribu kumjibu jamaa yangu ameuliza maswali mengi sana kuhusiana na huo uwanja wa ndege. Sasa nikaona nami labda nijaribu kumjibu angalau swali lake moja kati ya mengi aliyokuwa ameuliza!
 
Hakuna alichopangua jn makambako lisu kaongeza spana zaidi kuhusu uwanja huo,

Jiwe hawezi kujitetea kuhusu ujenzi wa chato akubali tu kuwa ule ni ulevi wa madaraka wa hali ya juu
 
Ndyo kapangua hivyo?

Niltegemea kuona nini faida ya uwanja wa chato? Na kwann n wa kimataifa?
 
Hoja kama hizi zinawaondolea heshima makamanda wenzangu. Kipindi hiki cha Corona unategemea Atcl wapate faida?
Atcl kwa nini isikaguliwe na CAG wakati ni shirika la umma? Tunajiabisha tuwe makini kujibu hoja
Kwani Imeanza mwaka huu
 
Chato ni wilaya ambapo umejengwa uwanja huo, ambapo uwanja huuu ni kwa akili ya watanzania wanaoishi mkoani geita

Hata hivyo uwanja ni mumoja hauwezi occupy eneo lote la mkoa, hivyo lazima litafutwe eneo moja tuuu, hivyo hata kama ni kijijini, kikubwa kijiji hicho wanaishi watanzania, hamna shida yoyote.

Inavyoonekana huu uwanja ungejengwa kule kwa bibi yako wala usingekuja kubwabwaja hapaa.
1.Kuna uhusiano wowote wa uwanja ule kujengwa Chato na Rais wa nchi kuwa mzawa wa huko Chato?Au ni mipango tu hata JPM angekuwa amezaliwa Shinyanga basi uwanja ungejengwa Chato!!!
2.Ni sehemu gani nyingine nchini ambapo uwanja umepelekwa wilayani na mkoani hakuna uwanja?Ukishindwa hilo,nitajie tu wilaya zenye viwanja vya vyenye hadhi kama ya Chato!
Mpaka leo bado mikoa mingi nchini haina viwanja vya ndege!Iweje Chato?
 
Acha uzuzu wewe watu wote hatuwezi kuwa sawa kifikra,kiakili ,kiutafutaji na kujituma.
Shirika la ndege la kibiashara haliwezi kurusha ndege kkipuuzi tu kupeleka Geita Kama hakuna abiria waliokata tikets waambieni wanachato wakate tiketi kwa wingi wakienda na kutokea chato uone Kama mashirika ya ndege hayatakwenda huko la sivyo wanaendelea kuona ndege za kina kenyata,mseveni na jiwe wakienda Chato kumsalimia
Kwahyo hiyo wakazi wa geita hawawezi kulipia usafiri wa ndege ili shirika la ndege liende kufanya biashara hukoo??

Au huo uwanja wa ndege hauna viwango vya ndege kutua paleee??
 
1.Kuna uhusiano wowote wa uwanja ule kujengwa Chato na Rais wa nchi kuwa mzawa wa huko Chato?Au ni mipango tu hata JPM angekuwa amezaliwa Shinyanga basi uwanja ungejengwa Chato!!!
2.Ni sehemu gani nyingine nchini ambapo uwanja umepelekwa wilayani na mkoani hakuna uwanja?Ukishindwa hilo,nitajie tu wilaya zenye viwanja vya vyenye hadhi kama ya Chato!
Mpaka leo bado mikoa mingi nchini haina viwanja vya ndege!Iweje Chato?
Kwani chato iko mkoa ganii???

Au wakazi wa geita hawana hadhi ya kujengewa uwanja huo??
 
Kwahiyooo mkoa wa geita wao hawana shida ya kusafiri na ndege??

Hivi haya mawazo na fikra za kizeee, nani kawarogaaa??
Tokea uwanja huu umekamilika takribani miaka 2 imepita Sasa wanageita wangapi wametumia uwanja huo kusafiri, na ninakujibu kwamba kwa takwimu zilizopo hakuna mwanageita yeyote aliyetumia uwanja huo kusafiri hivyo Ni dhahiri kwamba hakuna mwana Geita aliyekuwa na shida ya kutumia usafiri huo na Kama wapo Ni wachache Sana kuweza kushawishi shirika la ndege kufanya rout za huko.
Ndege sio Kama gari la abiria unaweza lipeleka sehemu na kupiga debe kuita abiria .
 
Kwani chato iko mkoa ganii???

Au wakazi wa geita hawana hadhi ya kujengewa uwanja huo??
Majibu mepesi kwa maswali magumu!
1.JPM angekuwa mzawa wa shinyanga,uwanja ungejengwa chato?
2.Nitajie wilaya zenye viwanja vye hadhi kama ya uwanja wa chato nchini!
 
Tokea uwanja huu umekamilika takribani miaka 2 imepita Sasa wanageita wangapi wametumia uwanja huo kusafiri, na ninakujibu kwamba kwa takwimu zilizopo hakuna mwanageita yeyote aliyetumia uwanja huo kusafiri hivyo Ni dhahiri kwamba hakuna mwana Geita aliyekuwa na shida ya kutumia usafiri huo na Kama wapo Ni wachache Sana kuweza kushawishi shirika la ndege kufanya rout za huko.
Ndege sio Kama gari la abiria unaweza lipeleka sehemu na kupiga debe kuita abiria .
Tuwekee hizo takwimu za wanageita, ambao wamepita kwenye huo uwanja ili tuone hizo hasara unazobwabwaja hapaa
 
Aiseee you guys need to think kwa kweli!Hivi umesoma ulichokiandika?Najua deep down mnajua si sahihi ila kwakuwa mnaendeshwa na mihemko ya kisiasa basi mnalazimika kuandika msichokiamini!
Ninachoukiza na naomba uwe muwazi kukijibu,je,Rais angekuwa hatokei Chato,uwanja ule ungejengwa huko?Je,hospitali kubwa ya rufaa ya kuhudumia kanda ingefikiriwa kujengwa Chato?Bandari je?
Kama marais wote wangefanya kama JPM,nchi hii miaka kadhaa ijayo ingekuwa inaongoza kuwa na viwanja vya kimataifa vijijini!
Mara mia hospitali inaeleweka kabisa kwa sababu ni kwa faida mapana ya watu, na hapo tusibague kikanda, tutakua tumekosea...kwa hospitali mtu akiniambia watu wa pale sio watanzania inaleta mantiki kabisa... lakini uwanja wa ndege hapana kabisa... na kwa hilo tu mkuu wa nchi akiambiwa awaombe msamaha taifa kwa unyenyekevu anaouhubiri kwake na kwa wateule wake kila kukicha, utaona cha mtema kuni haijawahi kutokea...

Si tunaaminishwa ni msema kweli, mnyenyekevu, alizaliwa kimakosa kama binadamu alitakiwa awe na mamalaika... kwani hayo maneno yote nimeota au tumeambiwa na yeye mwenyewe hadharani???
 
Tuwekee hizo takwimu za wanageita, ambao wamepita kwenye huo uwanja ili tuone hizo hasara unazobwabwaja hapaa
Hakuna ndege inayofanya safari za kibiashara kwenda chato!Jaribu kutafuta online booking ili ukate tiketi ya ndege kwenda chato!!!!😂😂😂
 
Back
Top Bottom