evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
kwanza uwanja upo wilayani Chato na sio Geita MjiniKwahyo hiyo wakazi wa geita hawawezi kulipia usafiri wa ndege ili shirika la ndege liende kufanya biashara hukoo??
Au huo uwanja wa ndege hauna viwango vya ndege kutua paleee??
Uwanja huo unahadhi ya kimataifa Kama aliojenga dictator Mobutu ambao Hadi Concord ilikuwa inaweza tua
Halafu Kama wangekuwa na uwezo huo lazima mashirika ya ndege yangeanzisha route za huko.
biashara ya ndege sio Kama daladala unapeleka gari unalipigia debe kuita abiria