Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ndio nasema,kwanini alternative isingejengwa penye uhitaji wa kiwanja cha ndege kama Kahama au Shinyanga?Uwanja wa Mwanza umepanuliwa kimkakati katika awamu hii ili uwe ni Kituo kikubwa cha ndege cha ukanda huu (hub), unapokuwa na hub unahitaji kuwa na uwanja wa msaada ulio karibu kwa ajili ya dharura itakayotokea.
Ni masuala ya kimkakati na sio kisiasa kama inavyoandikwa humu jukwaani.
Uwanja wa Mbeya alternative ni Iringa.
Je,JPM asingekuwa mzawa wa Chato,uwanja ungejengwa huko?Nashindwa kutenganisha uwanja huo kuwa Chato na JPM kuwa Rais anayetokea chato!