Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

Uwanja wa Mwanza umepanuliwa kimkakati katika awamu hii ili uwe ni Kituo kikubwa cha ndege cha ukanda huu (hub), unapokuwa na hub unahitaji kuwa na uwanja wa msaada ulio karibu kwa ajili ya dharura itakayotokea.
Ni masuala ya kimkakati na sio kisiasa kama inavyoandikwa humu jukwaani.

Uwanja wa Mbeya alternative ni Iringa.
Ndio nasema,kwanini alternative isingejengwa penye uhitaji wa kiwanja cha ndege kama Kahama au Shinyanga?
Je,JPM asingekuwa mzawa wa Chato,uwanja ungejengwa huko?Nashindwa kutenganisha uwanja huo kuwa Chato na JPM kuwa Rais anayetokea chato!
 
Wewe unaiongelea Chato ya leo, kumbuka kuwa yapo maisha baada ya mimi na wewe kuwa tumeshazikwa.
Ingekuwa hivyo basi tungejenga tu viwanja vya ndege hovyo hovyo bila kuangalia economic benefits!
Kwani uwanja ni lazima ujengwe leo?Kwanini pasiangaliwe penye uhitaji leo?Kama patakuwa pana uhitaji Chato ambapo mimi na wewe tutakuwa tumekufa,kwanini isisubiri mpaka kuwe na uhitaji ndio kiwanja kijengwe?
Kwani uwanja ni lazima ujengwe leo ili uje utumike miaka 20 ijayo?
Acheni kutufanya wajinga!
 
Ndio maana akasema kuwa akifa leo huo uwanja ataenda nao kaburini!!.

Hao jamaa zake hawana hadhi ya kuutumia huo uwanja miaka ijayo.

Kumbuka huko kuna hifadhi ya wanyama hivyo utalii utakuwa na abiria wengi wa ndege watakaotua hapo chato.

Itazame kesho ya Tanzania na fursa zake kuliko kuitazama ya leo pekee.
 
uwanja upo wilayani Chato na sio Geita Mjini
Uwanja huo unahadhi ya kimataifa Kama aliojenga dictator Mobutu ambao Hadi Concord ilikuwa inaweza tua
Halafu Kama wangekuwa na uwezo huo lazima mashirika ya ndege yangeanzisha route za huko.
biashara ya ndege sio Kama daladala unapeleka gari unalipigia debe kuita abiria
Hizi hasira zako ungeenda kuzimalizia kwa kuzunguka nyumba kwa nyumba ili kumpigia kampeni Lisu ili angalau apunguze gap la aibu atakalo pata 28 oktoba
 
Wewe unaiongelea Chato ya leo, kumbuka kuwa yapo maisha baada ya mimi na wewe kuwa tumeshazikwa.
Bwana philipo, wewe utamwambia mtoto wako sikununulii baiskeli kwa sababu kuna mwingine (ambaye hajazaliwa) anaweza akahitaji hapo baadae na ukamwacha anayehitaji kwa sasa hivi....

Tunauliza kwanini Chato? Kwanini sio Geita kwa mfano? Kama jibu ni kwa sababu mkuu ndio kwake, kwa nini tusikubali kwamb ndio sababu kuu yenyewe... strategic airport should have been identified in a strategic location also... the current location is not that strategic and there are better strategic locations near Mwanza airport that would serve the purpose much better and much faster keeping in mind that it's an airport and the users currently in bigger numbers are not the people of Chato...
 
Ingekuwa hivyo basi tungejenga tu viwanja vya ndege hovyo hovyo bila kuangalia economic benefits!
Kwani uwanja ni lazima ujengwe leo?Kwanini pasiangaliwe penye uhitaji leo?Kama patakuwa pana uhitaji Chato ambapo mimi na wewe tutakuwa tumekufa,kwanini isisubiri mpaka kuwe na uhitaji ndio kiwanja kijengwe?
Kwani uwanja ni lazima ujengwe leo ili uje utumike miaka 20 ijayo?
Acheni kutufanya wajinga!
Hawa watu wengine wanaelewesha wanajifanya hawaelewi wanaleta hoja za kipumbavu Sana ndio maaana nawatukana wanaudhi sana
Mkuu Safi kwa ufafanuzi mzuri
 
Kaka uwanja ndio ushajengwa na utatumiwa na vizazi vingi vya kesho.

Walioujenga uwanja wa KIA wangekuwa na mawazo kama ya kwako miaka ya nyuma wasingeujenga.

Waliojenga viwanja vyote vya ndege miaka ya nyuma wangekuwa na ubinafsi kama wa kwako wasingevijenga.

Economic benefits huwa hazionekani ndani wa mwaka mmoja au miwili.

Walioujenga mnara wa Paris miaka mingi iliyopita hawakujua kama utakuja kuwa kivutio cha utalii chenye kuipatia Ufaransa mamilioni ya pesa kila mwaka.

Achana na hulka za kibinafsi zenye ubaguzi uliojificha.
 
Bwana philipo, wewe utamwambia mtoto wako sikununulii baiskeli kwa sababu kuna mwingine (ambaye hajazaliwa) anaweza akahitaji hapo baadae na ukamwacha anayehitaji kwa sasa hivi....

Tunauliza kwanini Chato? Kwanini sio Geita kwa mfano? Kama jibu ni kwa sababu mkuu ndio kwake, kwa nini tusikubali kwamb ndio sababu kuu yenyewe... strategic airport should have been identified in a strategic location also... the current location is not that strategic and there are better strategic locations near Mwanza airport that would serve the purpose much better and much faster keeping in mind that it's an airport and the users currently in bigger numbers are not the people of Chato...
Unauliza kwanini iwe Chato na mimi nakuuliza kwani Chato sio sehemu ya Tanzania?.

Nani kakwambia kuwa chato ya leo ni sawa na jle ya 2035?. Tuwe tunaiangalia Tanzania ya kesho muda wetu hapa duniani ni mfupi.
 
Hizi hasira zako ungeenda kuzimalizia kwa kuzunguka nyumba kwa nyumba ili kumpigia kampeni Lisu ili angalau apunguze gap la aibu atakalo pata 28 oktoba
Mimi sio mwanasiasa na sio mwanachama wa chama chochote cha siasa mbwa we endelea kujishughulisha na Mambo yako ya kamapeni wengine tuna ishu zetu ila tukiona maujinga ya wanasiasa hatusiti kukemea kwani nalipa kodi
 
Secta ya anga sio atcl boss?

Sector ya anga ina mambo mengi.

Mbona radar 4 hatulalamiki.. mbona ujenzi wa viwanja kwenye miji hatulalamiki ukiacha chato ..?

Mtafute Mkurugenzi wa atcl atakupa figures.

Sekta ya anga inachagiza ukuaji wa sekta nyingine, yenyewe unaweza usiione faida yake leo au kesho lakini fuatilia zile sekta nyingine zinazozaliwa na kukua kupitia sekta ya anga utagundua ni nyingi.
 
KWANI KUNASHIDA GANI KUJENGA UWANJA CHATO?
KWANI CHATO SIO TANZANIA?
KWANI UWANJA WA NDEGE CHATO SI UWANJA WAWATANZANIA WOTE?
KWANI UWANJA WA CHATO NI MALI YA MAGUFULU NA FAMILIA YAKEEE??
hivi Air tanzania imeshaanza safari za dar to chato?
 
Secta ya anga sio atcl boss?

Sector ya anga ina mambo mengi.

Mbona radar 4 hatulalamiki.. mbona ujenzi wa viwanja kwenye miji hatulalamiki ukiacha chato ..?
Aliniuliza swali kuhusu atcl kama inapata faida.

Hum wengi wanapiga makelele kuhusu ndege hawaongelei namna awamu ya tano ilivyonunua rada nne ambazo ni chanzo kikubwa cha mapato.
 
Kaka uwanja ndio ushajengwa na utatumiwa na vizazi vingi vya kesho.

Walioujenga uwanja wa KIA wangekuwa na mawazo kama ya kwako miaka ya nyuma wasingeujenga.

Waliojenga viwanja vyote vya ndege miaka ya nyuma wangekuwa na ubinafsi kama wa kwako wasingevijenga.

Economic benefits huwa hazionekani ndani wa mwaka mmoja au miwili.

Walioujenga mnara wa Paris miaka mingi iliyopita hawakujua kama utakuja kuwa kivutio cha utalii chenye kuipatia Ufaransa mamilioni ya pesa kila mwaka.

Achana na hulka za kibinafsi zenye ubaguzi uliojificha.
Unatetea ujinga!Kwahiyo kwasasa uwanja unatumiwa na JPM na marafiki zake!Mnachoshindwa kusema kwa uwazi ni kuwa JPM katumia nafasi yake kama Rais kulazimisha kujenga uwanja Chato ambapo sio mahitaji ya nchi kwa sasa!Wilayani kote,kumeachwa maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya ndege,hii inamaana mpaka pale kutakapokuwa na uhitaji ndio viwanja vitajengwa!
Msiwe mapopoma,sio kila jambo ni kuunga mkono tu hata kama halina manufaa zaidi ya kuiingiza serikali hasara!Ni aibu kwa mtu anayejitambua kutokuona uwanja huu ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi,nchi inachangamoto nyingi lakini unaenda kutumia pesa hovyo kujenga nyumbani kwenu kwasababu wewe ni Rais!Si sawa,Lissu endelea kuwaelimisha wananchi juu ya huu umobutu Seseko!
 
Hawa watu wengine wanaelewesha wanajifanya hawaelewi wanaleta hoja za kipumbavu Sana ndio maaana nawatukana wanaudhi sana
Mkuu Safi kwa ufafanuzi mzuri
Nawashangaa sana, nao wameanza kutembea na ubeti kuwa "kwani nitaenda nao huo uwanja kaburini?"
Yaani akili zao utafikiri ziko programmed!
 
Lisu kamatia hapohapo mzee dawa inaingia vizuri sasa

IMG_20200915_101259.jpeg
 
Ndio maana akasema kuwa akifa leo huo uwanja ataenda nao kaburini!!.

Hao jamaa zake hawana hadhi ya kuutumia huo uwanja miaka ijayo.

Kumbuka huko kuna hifadhi ya wanyama hivyo utalii utakuwa na abiria wengi wa ndege watakaotua hapo chato.

Itazame kesho ya Tanzania na fursa zake kuliko kuitazama ya leo pekee.
Acha kufikiri kwa kutumia tumbo,seka maslahi yako pembeni na kuwa neutral utaelewa mantiki!
Hujajibu swali,JPM angekuwa si mzawa wa Chato,uwanja huo ungejengwa Chato wakati kama huu? Akitokea Rais kutoka Sumbawanga huko vijijini,naye ajenge kiwanja huko na aseme anaangalia fursa miaka 20 ijayo?

Lissu akiwa Rais naye ajenge uwanja huko singida kijijini kwao aseme anaangalia fursa miaka 20 ijayo?Rungwe naye hivyo hivyo,Lipumba naye hivyo hivyo!Tutakuwa taifa la namna gani?
 
Bwana philipo, wewe utamwambia mtoto wako sikununulii baiskeli kwa sababu kuna mwingine (ambaye hajazaliwa) anaweza akahitaji hapo baadae na ukamwacha anayehitaji kwa sasa hivi...
Unadhani hawaelewi hayo mkuu?Wanajua sana ila ndio hivyo lazima watetee tu!Hata usiku watauita mchana!Siku moja watamkana kwenye hili,subiri atoke madarakani ndio utajua rangi halisi za hawa viumbe wanaofikiri kwa kutumia ujazo wa matumbo yao!
 
Back
Top Bottom